Loading...

WAZIRI MKUU AHUTUBIA KATIKA KILELE CHA MAADHIMISHO YA MAADILI NA HAKI ZA BINADAMU KITAIFA JIJINI DODOMA

Loading...
WAZIRI MKUU AHUTUBIA KATIKA KILELE CHA MAADHIMISHO YA MAADILI NA HAKI ZA BINADAMU KITAIFA JIJINI DODOMA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI MKUU AHUTUBIA KATIKA KILELE CHA MAADHIMISHO YA MAADILI NA HAKI ZA BINADAMU KITAIFA JIJINI DODOMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI MKUU AHUTUBIA KATIKA KILELE CHA MAADHIMISHO YA MAADILI NA HAKI ZA BINADAMU KITAIFA JIJINI DODOMA
link : WAZIRI MKUU AHUTUBIA KATIKA KILELE CHA MAADHIMISHO YA MAADILI NA HAKI ZA BINADAMU KITAIFA JIJINI DODOMA

soma pia


WAZIRI MKUU AHUTUBIA KATIKA KILELE CHA MAADHIMISHO YA MAADILI NA HAKI ZA BINADAMU KITAIFA JIJINI DODOMA

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza  katika Kilele cha Maadhimisho ya Maadili na Haki za Binadamu Kitaifa  kwenye Kiwanja cha Nyerere Squre jijini Dodoma, Desemba 10, 2018. 
 Wananchi wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza katika  Kilele cha Maadhimisho ya Maadili na Haki za Binadamu Kitaifa kwenye Kiwanja cha Nyerere Square jijini Dodoma, Desemba 10, 2018. 
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza na Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Paramagamba Kabudi (katikati ) na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapteni  (mstaafu), George Mkuchika baada ya kuhutubia katika Kilele cha Maadhimisho ya Maadili na Haki za Binadamu Kitaifa kwenye Kiwanja cha Nyerere Square jijini Dodoma, Desemba 10, 2018. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza na Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Paramagamba Kabudi  baada ya kuhutubia katika Kilele cha Maadhimisho ya Maadili na Haki za Binadamu Kitaifa kwenye Kiwanja cha Nyerere Square jijini Dodoma, Desemba 10, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Hivyo makala WAZIRI MKUU AHUTUBIA KATIKA KILELE CHA MAADHIMISHO YA MAADILI NA HAKI ZA BINADAMU KITAIFA JIJINI DODOMA

yaani makala yote WAZIRI MKUU AHUTUBIA KATIKA KILELE CHA MAADHIMISHO YA MAADILI NA HAKI ZA BINADAMU KITAIFA JIJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU AHUTUBIA KATIKA KILELE CHA MAADHIMISHO YA MAADILI NA HAKI ZA BINADAMU KITAIFA JIJINI DODOMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/waziri-mkuu-ahutubia-katika-kilele-cha.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI MKUU AHUTUBIA KATIKA KILELE CHA MAADHIMISHO YA MAADILI NA HAKI ZA BINADAMU KITAIFA JIJINI DODOMA"

Post a Comment

Loading...