Loading...

WIZARA YA ARDHI YASHIRIKI KUPAMBANA NA VVU/UKIMWI

Loading...
WIZARA YA ARDHI YASHIRIKI KUPAMBANA NA VVU/UKIMWI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WIZARA YA ARDHI YASHIRIKI KUPAMBANA NA VVU/UKIMWI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WIZARA YA ARDHI YASHIRIKI KUPAMBANA NA VVU/UKIMWI
link : WIZARA YA ARDHI YASHIRIKI KUPAMBANA NA VVU/UKIMWI

soma pia


WIZARA YA ARDHI YASHIRIKI KUPAMBANA NA VVU/UKIMWI


Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi; Mathias Kabundunguru amewaongoza watumishi wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi katika Upimaji hiari wa Virusi Vya UKIMWI (VVU) na UKIMWI na magonjwa mengine wakati wa Mafunzo maalum ya Afya katika mahali pa kazi, yaliyofanywa na Timu ya Wataalam wa Afya kutoka Tume ya kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) na Halmashauri ya Jiji la Dodoma katika ofisi za Wizara ya Ardhi – Dodoma.

Magonjwa mengine yaliyofanyiwa upimaji ni pamoja na Kisukari, Shinikizo la damu (Pressure) na Uwiano wa Urefu na Uzito (Body Mass Index /BMI).

Akiongea na Watumishi wa Wizara katika Mafunzo hayo. Bwn. Kabundunguru alisema; “ Mafunzo ya Afya kwa Watumishi ni muhimu na yanalenga kuwapa uelewa zaidi na kuwawezesha Watumishi kupima Afya, kutambua hali za Afya zenu mapema na kuwawezesha kuishi kulingana na hali ya afya zenu huku mkiendelea kutoa huduma katika Utumishi wa Umma”.

Naye Afisa mwitikio wa Taasisi za umma (Public institutions response officer, Dkt. Hafidh Ameir kutoka Tume ya kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS); Pamoja na mambo mengine, alieleza kuwa dhumuni Kuu pia la Mafunzo ni kuwaarifu watumishi wa umma kuhusu umuhimu wa kuchukua tahadhari ya magonjwa husika, hususani VVU na UKIMWI. Alisema; “ Watumishi wa umma wanasisitizwa kutambua kwamba mbali ya kuwa suala la afya dhaifu huathiri uwezo wao wa kufanya kazi kwa ufanisi, pia linawaathiri wao binafsi, hivyo watumishi wenyewe wanawajibika pia kujali afya zao.
kushoto ni Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi; Mathias Kabundunguru, akifuatiwa na Kaimu Mkurugenzi wa Utawala; Gideon Malabeja na Afisa Utumishi Mwandamizi; Joyce Mlowe katika ufunguzi wa Mafunzo Maalum ya Afya mahali pa kazi yaliyotolewa na Timu ya Wataalam wa Afya kutoka Tume ya kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) na Halmashauri ya Jiji la Dodoma katika ofisi za Wizara ya Ardhi – Dodoma. 
Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi; Mathias Kabundunguru akiwa kwenye zoezi la upimaji wa VVU/UKIMWI baada tu ya Mafunzo maalum ya Afya mahali pa kazi yaliyotolewa na Timu ya Wataalam wa Afya kutoka Tume ya kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) na Halmashauri ya Jiji la Dodoma katika ofisi za Wizara ya Ardhi – Dodoma. 
Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi; Mathias Kabundunguru akiwa kwenye zoezi la upimaji wa Uwiano wa Urefu na Uzito (Body Mass Index /BMI) baada tu ya Mafunzo maalum ya Afya mahali pa kazi yaliyotolewa na Timu ya Wataalam wa Afya kutoka Tume ya kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) na Halmashauri ya Jiji la Dodoma katika ofisi za Wizara ya Ardhi – Dodoma.



Hivyo makala WIZARA YA ARDHI YASHIRIKI KUPAMBANA NA VVU/UKIMWI

yaani makala yote WIZARA YA ARDHI YASHIRIKI KUPAMBANA NA VVU/UKIMWI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WIZARA YA ARDHI YASHIRIKI KUPAMBANA NA VVU/UKIMWI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/wizara-ya-ardhi-yashiriki-kupambana-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WIZARA YA ARDHI YASHIRIKI KUPAMBANA NA VVU/UKIMWI"

Post a Comment

Loading...