Loading...
title : ZSTC yatoa msaada wa mashuka
link : ZSTC yatoa msaada wa mashuka
ZSTC yatoa msaada wa mashuka
Mkurugenzi Tiba Hospitali ya Mnazi mmjo Dk,Juma Salum Mbwana kushoto akiwa pamoja na Katibu Wa shirika la Taifa la Biashara Zanzibar ZSTC Ali Hilal Vuai wakionesha moja ya mashuka yaliotolewa msaada na Shirika hilo kwa Hospitali mbalimbali za Wilaya Zanzibar.
-Mkurugenzi Tiba Hospitali ya Mnazi Mmjoa Dkt,Juma Salum, Mbwana kulia akikabidhiwa mashuka na Katibu wa Shirika la Taifa la Biashara Zanzibar ZSTC Ali Hilal Vuai yaliyotolewa msaada na shirika hilo kwa Hospitali mbalimbali za Wilaya Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
Hivyo makala ZSTC yatoa msaada wa mashuka
yaani makala yote ZSTC yatoa msaada wa mashuka Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala ZSTC yatoa msaada wa mashuka mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/zstc-yatoa-msaada-wa-mashuka.html
0 Response to "ZSTC yatoa msaada wa mashuka"
Post a Comment