Loading...

Airbus A220-300 Kutua Nchini Kesho Ijumaa Mchana

Loading...
Airbus A220-300 Kutua Nchini Kesho Ijumaa Mchana - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Airbus A220-300 Kutua Nchini Kesho Ijumaa Mchana, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Airbus A220-300 Kutua Nchini Kesho Ijumaa Mchana
link : Airbus A220-300 Kutua Nchini Kesho Ijumaa Mchana

soma pia


Airbus A220-300 Kutua Nchini Kesho Ijumaa Mchana

 

Ndege nyingine mpya ya Serikali aina ya Airbus A220-300 iliyopewa jina la Ngorongoro inatarajia kuwasilini nchini kesho Ijumaa mchana, ambapo itafanya idadi ya ndege zilizonunuliwa na Serikali kufikia sita.

Ndege hiyo ambayo tayari inanakshi za Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL)  itafanya jumla ya ndege za ATCL kufikia 7, ikijumlishwa na ndege yao ya zamani aina ya Bombardier Q300 ambayo sasa ipo katika matengenezo.

Ndege inayotarajiwa kutua kesho ni ya pili ya aina hiyo, kwani Desemba 23 iliwasili ya kwanza ambayo ilipewa jina la Dodoma. 

Ndege nyingine zinazomilikiwa na shirika hilo ni Bomberdier Q400-8 tatu na Boeing 87-8 (Dreamliner) moja.


Hivyo makala Airbus A220-300 Kutua Nchini Kesho Ijumaa Mchana

yaani makala yote Airbus A220-300 Kutua Nchini Kesho Ijumaa Mchana Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Airbus A220-300 Kutua Nchini Kesho Ijumaa Mchana mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/airbus-a220-300-kutua-nchini-kesho.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Airbus A220-300 Kutua Nchini Kesho Ijumaa Mchana"

Post a Comment

Loading...