Loading...

Amber Rutty amwaga chozi Mahakamani baada ya mumewe kuanguka

Loading...
Amber Rutty amwaga chozi Mahakamani baada ya mumewe kuanguka - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Amber Rutty amwaga chozi Mahakamani baada ya mumewe kuanguka, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Amber Rutty amwaga chozi Mahakamani baada ya mumewe kuanguka
link : Amber Rutty amwaga chozi Mahakamani baada ya mumewe kuanguka

soma pia


Amber Rutty amwaga chozi Mahakamani baada ya mumewe kuanguka

Na Karama Kenyunko,  globu ya jamii. 

Mnogeshaji wa video mbalimbali za wasanii (Video Queen) Rutyfiya Abubakary maarufu  'Amber Rutty’ amejikuta akiangua kulio katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya mume wake, Said Mtopali, kuanguka nje ya kizimba cha Mahakama Kufuatia kesi yao ya kufanya mapenzi kinyume na maumbile  kuahirishwa. 

Kabla ya kutokea kwa tukio hilo upande wa mashtaka ukiongozwa na wakili wa serikali Neema Bwana ulidai mbele ya Hakimu Mkazi Janet Mbando kuwa,  kesi hiyo leo January 10.2019 imekuja kwa kutajwa na upelelezi bado  haujakamilika.

 Mshitakiwa mwengine katika kesi hiyo ni James Charles maarufu kama James Delicious ambaye anakabiliwa na mashitaka ya kuchapisha video au picha za ngono  na kuzisambaza katika makundi ya mtandao wa kijamii wa WhatsApp.

Kufuatia taarifa hiyo, Hakimu Mmbando ameahirisha kesi hiyo hadi Februari 11, 2019  na washitakiwa wote wako nje kwa dhamana.

Maro baada ya kesi hiyo kuahirishwa, mshtakiwa Mtopali wakati akitoka nje ya mahakama kuanguka ghafla na kumelelwa taharuki kwa ndugu zake ambao walimnyanyua kwa haraka na kumkimbiza Hospitali kwa uchunguzi zaidi. 

Katika kesi hiyo, Amber Rutty
anadaiwa kati ya Octobar 25, mwaka huu, jijini Dar es Salaam aliimruhusu Said Mtopali kumuingilia kinyume na maumbile jambo ambalo ni kinyume na sheria.

Pia inadaiwa kati ya Octobar 25, mwaka , maeneo ya jiji la Dar es Salaam, alifanya mapenzi kinyume na maumbile na mshitakiwa Mtopali.


Hivyo makala Amber Rutty amwaga chozi Mahakamani baada ya mumewe kuanguka

yaani makala yote Amber Rutty amwaga chozi Mahakamani baada ya mumewe kuanguka Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Amber Rutty amwaga chozi Mahakamani baada ya mumewe kuanguka mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/amber-rutty-amwaga-chozi-mahakamani.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Amber Rutty amwaga chozi Mahakamani baada ya mumewe kuanguka"

Post a Comment

Loading...