Loading...

AWESO AMTAKA DC KARATU KUWAITA WATAALAM WA SERIKALI,WAKANDARASI WALIOHUSIKA NA MIRADI YA MAJI KARATU NDANI YA SIKU 14

Loading...
AWESO AMTAKA DC KARATU KUWAITA WATAALAM WA SERIKALI,WAKANDARASI WALIOHUSIKA NA MIRADI YA MAJI KARATU NDANI YA SIKU 14 - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa AWESO AMTAKA DC KARATU KUWAITA WATAALAM WA SERIKALI,WAKANDARASI WALIOHUSIKA NA MIRADI YA MAJI KARATU NDANI YA SIKU 14, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : AWESO AMTAKA DC KARATU KUWAITA WATAALAM WA SERIKALI,WAKANDARASI WALIOHUSIKA NA MIRADI YA MAJI KARATU NDANI YA SIKU 14
link : AWESO AMTAKA DC KARATU KUWAITA WATAALAM WA SERIKALI,WAKANDARASI WALIOHUSIKA NA MIRADI YA MAJI KARATU NDANI YA SIKU 14

soma pia


AWESO AMTAKA DC KARATU KUWAITA WATAALAM WA SERIKALI,WAKANDARASI WALIOHUSIKA NA MIRADI YA MAJI KARATU NDANI YA SIKU 14


Naibu Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amemtaka mkuu wa wilaya ya Karatu kuwatafuta wataalam wa serikali, pamoja na wakandarasi waliopata zabuni za kutekeleza miradi ya maji wilayani Karatu kufika wilayani hapo bila kukosa ndani baada ya siku 14. Wito huo ni kuanzia Tarehe 28 Januari, 2019 ili kufanyika kikao na wahusika kueleza jinsi walivyosimamia na kutekeleza miradi ya maji wilayani Karatu.

Naibu Waziri Aweso amesema katika kikao hicho asitumwe mwakilishi, bali wahusika wenyewe, na atashiriki kikao hicho ili kubaini changamoto zote za miradi ya maji wilayani Karatu na kutafuta jibu ili maji safi na salama yawafikie wananchi na wadau wengine kwa wakati kama serikali ilivyopanga.

Waziri Aweso katika ziara ya ukaguzi amesema imebainika baadhi ya miradi ya maji imekabidhiwa ikiwa na mapungufu na makosa mbalimbali hali ambayo haikubaliki, pia kutowatendea haki wananchi wanaohitaji maji kwa shughuli mbalimbali za maendeleo.

Awali, Mkuu wa wilaya ya Karatu Mhe. Theresia Mahongo amesema kuwa miongoni mwa changamoto za miradi ya maji wilayani hapo ni mapungufu ya kiusanifu. Amesema hali hiyo imetokana na miradi ilipoanza kutekelezwa mwaka 2012/2013 haikufanyiwa mapitio ya usanifu upya baada ya mtaalam mshauri kampuni ya Tanplanet Njegimi Express kuachishwa kazi kwa kutokidhi viwango.

Halmashauri ya wilaya ya Karatu ilipangiwa kutekeleza miradi ya maji katika vijiji 10 na katika halmashauri hiyo miradi ilipangwa kuhudumia vijiji 13 kwa kutekelezwa katika vijiji vya Getamock/Mahhahha, Khusumay, Kansay, Buger, Endonyawet, Matala, Endamaghang/Mikocheni, Laja/Umbangw, Mang’ola Juu na Makhoromba.

Naibu Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) akiangali mtambo wa kunyonya maji chini ya ardhi umbali wa kina cha mita 180 eneo la Bwawani Karatu. Maji yanayopatikana hapo yanasambazwa kwa wakazi wa mji wa Karatu
Naibu Waziri wa Maji Mhe.Jumaa Aweso (Mb) akiangalia mfumo wa mabomba katika tenki katika mradi wa maji wa kwa Tom, Karatu mjini. Utekelezaji wa mradi huo umefika asilimia 33 na utakapokamilika utahudumia zaidi ya wakazi elfu 10 na kuongeza upatikanaji maji wilayani Karatu kutoka asilimia 33 hadi asilimia 53. Mwenye miwani ni Mkuu wa wilaya ya Karatu Mhe. Theresia Mahongo.
Naibu Waziri wa Maji Mhe.Jumaa Aweso (Mb) akitoa maelezo katika moja ya mradi wa maji, wilayani Babati eneo la Eyalabe. 
. Naibu Waziri wa Maji Mhe.Jumaa Aweso (Mb) pamoja na viongozi wa wafugaji baada ya ukaguzi wa miradi ya maji na kuwahakikishia maji safi na salama yatapatikana, yakutosheleza majumbani na mifugo yao, eneo la Makuyuni, Monduli.



Hivyo makala AWESO AMTAKA DC KARATU KUWAITA WATAALAM WA SERIKALI,WAKANDARASI WALIOHUSIKA NA MIRADI YA MAJI KARATU NDANI YA SIKU 14

yaani makala yote AWESO AMTAKA DC KARATU KUWAITA WATAALAM WA SERIKALI,WAKANDARASI WALIOHUSIKA NA MIRADI YA MAJI KARATU NDANI YA SIKU 14 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala AWESO AMTAKA DC KARATU KUWAITA WATAALAM WA SERIKALI,WAKANDARASI WALIOHUSIKA NA MIRADI YA MAJI KARATU NDANI YA SIKU 14 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/aweso-amtaka-dc-karatu-kuwaita-wataalam.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "AWESO AMTAKA DC KARATU KUWAITA WATAALAM WA SERIKALI,WAKANDARASI WALIOHUSIKA NA MIRADI YA MAJI KARATU NDANI YA SIKU 14"

Post a Comment

Loading...