Loading...
title : AZAM FC YATINGA FAINAL KOMBE LA MAPINDUZI
link : AZAM FC YATINGA FAINAL KOMBE LA MAPINDUZI
AZAM FC YATINGA FAINAL KOMBE LA MAPINDUZI
Mabigwa watetezi Azam fc imefanikiwa kutinga hatua ya fainali kombe la Mapinduzi baada ya kuifunga KMKM jumla ya mabao 3 kwa 0 katika mchezo nusu fainali uliopigwa leo uwanja wa Amaan, visiwani Zanzibar.Mchezo wa pili wa nusu fainali utakuwa kati ya Simba na Malindi ambapo wataminyana saa 2:15 Usiku katika Uwanja wa Amaan.
Hivyo makala AZAM FC YATINGA FAINAL KOMBE LA MAPINDUZI
yaani makala yote AZAM FC YATINGA FAINAL KOMBE LA MAPINDUZI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala AZAM FC YATINGA FAINAL KOMBE LA MAPINDUZI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/azam-fc-yatinga-fainal-kombe-la.html
0 Response to "AZAM FC YATINGA FAINAL KOMBE LA MAPINDUZI"
Post a Comment