Loading...

Balozi wa Tanzania, Ujerumani awasilisha hati za utambulisho nchini Bulgaria

Loading...
Balozi wa Tanzania, Ujerumani awasilisha hati za utambulisho nchini Bulgaria - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Balozi wa Tanzania, Ujerumani awasilisha hati za utambulisho nchini Bulgaria, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Balozi wa Tanzania, Ujerumani awasilisha hati za utambulisho nchini Bulgaria
link : Balozi wa Tanzania, Ujerumani awasilisha hati za utambulisho nchini Bulgaria

soma pia


Balozi wa Tanzania, Ujerumani awasilisha hati za utambulisho nchini Bulgaria

Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani ambaye anawakilisha pia nchini Bulgaria , Mhe. Dkt. Abdallah Posi akiwasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Bulgaria, Mhe. Rumen Radev. Hafla hiyo ilifanyika Ikulu ya nchi hiyo hivi karibuni.
Mhe. Balozi Dkt. Posi akizungumza na Mhe. Rais Radev mara baada ya kuwasilisha hati za utambulisho
Mhe. Balozi Dkt. Posi akiagana na Mhe. Rais Radev mara baada ya kuwasilisha hati za utambulisho




Mhe. Balozi Dkt. Posi akiwa mbele ya gwaride la heshima alipowasili Ikulu ya Bulgaria kwa ajili ya kuwasilisha hati zake za utambulisho kwa Rais wa nchi hiyo.


Hivyo makala Balozi wa Tanzania, Ujerumani awasilisha hati za utambulisho nchini Bulgaria

yaani makala yote Balozi wa Tanzania, Ujerumani awasilisha hati za utambulisho nchini Bulgaria Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Balozi wa Tanzania, Ujerumani awasilisha hati za utambulisho nchini Bulgaria mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/balozi-wa-tanzania-ujerumani-awasilisha.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Balozi wa Tanzania, Ujerumani awasilisha hati za utambulisho nchini Bulgaria"

Post a Comment

Loading...