Loading...

CAG AFIKA MBELE YA KAMATI YA BUNGE YA HAKI, MAADILI NA MADARAKA YA BUNGE

Loading...
CAG AFIKA MBELE YA KAMATI YA BUNGE YA HAKI, MAADILI NA MADARAKA YA BUNGE - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa CAG AFIKA MBELE YA KAMATI YA BUNGE YA HAKI, MAADILI NA MADARAKA YA BUNGE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : CAG AFIKA MBELE YA KAMATI YA BUNGE YA HAKI, MAADILI NA MADARAKA YA BUNGE
link : CAG AFIKA MBELE YA KAMATI YA BUNGE YA HAKI, MAADILI NA MADARAKA YA BUNGE

soma pia


CAG AFIKA MBELE YA KAMATI YA BUNGE YA HAKI, MAADILI NA MADARAKA YA BUNGE

 Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali, Mhe. Prof. Mussa Assad akishuka kwenye gari kuelekea kwenye kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kuitikia wito wa tuhuma zinamkabili za kulidhalilisha Bunge, tukio lililotokea leo tarehe 21 Januari, 2019 katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma.
 Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali, Mhe. Prof. Mussa Assad (kulia) akisindikizwa na Msaidizi wa Mpambe wa Bunge, Ndg. Leonard Bushiri kuelekea kwenye kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kuitikia wito wa tuhuma zinazomkabili za kulidhalilisha Bunge, tukio lililotokea leo tarehe 21 Januari, 2019 katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma.
 Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali, Mhe. Prof. Mussa Assad akisaini kitabu cha wageni kabla ya kuelekea kwenye kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kuitikia wito wa tuhuma zinazomkabili za kulidhalilisha Bunge, tukio lililofanyika leo tarehe 21 Januari, 2019 katika ofisi za Bunge Jijini Dodoma.
 Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali, Mhe. Prof. Mussa Assad akiingia kwenye kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kuitikia wito wa tuhuma zinazomkabili za kulilidhalilisha Bunge, tukio lililotokea leo tarehe 21 Januari, 2019 katika ofisi za Bunge Jijini Dodoma.
 Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali, Mhe. Prof. Mussa Assad akitoa nyaraka zake mbele ya kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge wakati akiitikia wito wa tuhuma zinazomkabili za kulilidhalilisha Bunge, tukio lililotokea leo tarehe 21 Januari, 2019 katika ofisi za Bunge Jijini Dodoma.
Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali, Mhe. Prof. Mussa Assad akiwa mbele ya kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge akiitikia wito wa hutuma zinazomkabili za kulilidhalilisha Bunge, tukio lililofanyika leo tarehe 21 Januari, 2019 katika ofisi za Bunge Jijini Dodoma.

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)


Hivyo makala CAG AFIKA MBELE YA KAMATI YA BUNGE YA HAKI, MAADILI NA MADARAKA YA BUNGE

yaani makala yote CAG AFIKA MBELE YA KAMATI YA BUNGE YA HAKI, MAADILI NA MADARAKA YA BUNGE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala CAG AFIKA MBELE YA KAMATI YA BUNGE YA HAKI, MAADILI NA MADARAKA YA BUNGE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/cag-afika-mbele-ya-kamati-ya-bunge-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "CAG AFIKA MBELE YA KAMATI YA BUNGE YA HAKI, MAADILI NA MADARAKA YA BUNGE"

Post a Comment

Loading...