Loading...

CHELSEA KUMINYANA NA MANCHESTER UTD KOMBA LA FA

Loading...
CHELSEA KUMINYANA NA MANCHESTER UTD KOMBA LA FA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa CHELSEA KUMINYANA NA MANCHESTER UTD KOMBA LA FA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : CHELSEA KUMINYANA NA MANCHESTER UTD KOMBA LA FA
link : CHELSEA KUMINYANA NA MANCHESTER UTD KOMBA LA FA

soma pia


CHELSEA KUMINYANA NA MANCHESTER UTD KOMBA LA FA

Mabingwa watetezi wa kombe la FA, Chelsea, wataminyana na mabingwa mara 12 wa kombe hilo, Manchester United, katika mzunguko wa tano wa michuano hiyo.
Mechi ya miamba hiyo itakuwa ni marudio ya fainali ya mwaka jana mabapo Chelsea waliibuka na ushindi.
Timu ya Ligi Daraja la Pili ya Newport County wanaweza kuminyana na mabingwa wa Ligi ya Premia Manchester City iwapo watawang'oa Middlesbrough katika mechi yao ya marudiano.
Timu ya Ligi Daraka la Kwanza Doncaster Rovers wamenuwia kuwang'oa Crystal Palace iliyopo kwenye Ligi ya Premia baada ya kutoka sare mchezo wao wa kwanza wa mzunguko wa nne.
Michezo ya raundi ya tano ya michuano ya FA itapigwa kati ya tarehe 15 na 18 ya mwezi Februari.
RATIBA KAMILI
Bristol City v Shrewsbury Town/Wolverhampton Wanderers
AFC Wimbledon v Millwall
Doncaster Rovers v Crystal Palace
Middlesbrough/Newport County v Manchester City
Chelsea v Manchester United
Swansea v Barnet or Brentford
Portsmouth/Queens Park Rangers v Watford
Brighton & Hove Albion/West Bromwich Albion v Derby County



Hivyo makala CHELSEA KUMINYANA NA MANCHESTER UTD KOMBA LA FA

yaani makala yote CHELSEA KUMINYANA NA MANCHESTER UTD KOMBA LA FA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala CHELSEA KUMINYANA NA MANCHESTER UTD KOMBA LA FA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/chelsea-kuminyana-na-manchester-utd.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "CHELSEA KUMINYANA NA MANCHESTER UTD KOMBA LA FA"

Post a Comment

Loading...