Loading...
title : FIFA YAMTIA KIFUNGO MICHAEL WAMBURA KUJIHUSISHA NA SOKA.
link : FIFA YAMTIA KIFUNGO MICHAEL WAMBURA KUJIHUSISHA NA SOKA.
FIFA YAMTIA KIFUNGO MICHAEL WAMBURA KUJIHUSISHA NA SOKA.

Kamati ya nidhamu ya Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa), limetangaza kumfungia Michael Wambura maisha.Kifungo hicho kinamfanya Wambura kutojihusisha na soka maisha.
Michael Wambura alichaguliwa kuwa Makamu wa Rais wa Shirikisho la Soka nchini TFF katika uchaguzi mkuu wa mwezi Julai mwaka 2017, kabla ya kufungiwa na shirikisho hilo mwaka uliopita kwa tuhuma za matumizi mabaya ya fedha.
Alikata rufaa Mahakamani, ambapo Mahakama iliamuru kurejeshwa katika nafasi yake mwishoni mwa mwaka uliopita lakini TFF ilikata rufaa FIFA.
Alikata rufaa Mahakamani, ambapo Mahakama iliamuru kurejeshwa katika nafasi yake mwishoni mwa mwaka uliopita lakini TFF ilikata rufaa FIFA.

Hivyo makala FIFA YAMTIA KIFUNGO MICHAEL WAMBURA KUJIHUSISHA NA SOKA.
yaani makala yote FIFA YAMTIA KIFUNGO MICHAEL WAMBURA KUJIHUSISHA NA SOKA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala FIFA YAMTIA KIFUNGO MICHAEL WAMBURA KUJIHUSISHA NA SOKA. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/fifa-yamtia-kifungo-michael-wambura.html
0 Response to "FIFA YAMTIA KIFUNGO MICHAEL WAMBURA KUJIHUSISHA NA SOKA."
Post a Comment