Loading...

JAFO AINYOOSHEA KIDOLE OFISI YA TRA KIGOMA

Loading...
JAFO AINYOOSHEA KIDOLE OFISI YA TRA KIGOMA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa JAFO AINYOOSHEA KIDOLE OFISI YA TRA KIGOMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : JAFO AINYOOSHEA KIDOLE OFISI YA TRA KIGOMA
link : JAFO AINYOOSHEA KIDOLE OFISI YA TRA KIGOMA

soma pia


JAFO AINYOOSHEA KIDOLE OFISI YA TRA KIGOMA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Selemani Jafo amefadhaishwa kwa kukosekana kwa afisa wa TRA katika Kituo cha Kibiashara cha Pamoja ambacho lengo lake ni kurahisisha shughuli za kibiashara kwa wananchi wa Wilaya ya Kigoma kwa kupata huduma zote za uwezeshaji wa biashara katika eneo moja.

Licha ya kuwepo kwa kituo hicho kilichojengwa na kukamilika tangu miezi sita iliyopita lakini afisa kutoka TRA anakosekana licha ya ofisi ya mkurugenzi wa manispaa ya Ujiji kufanya mawasiliano na TRA kwa miezi sita hadi sasa.

Kituo hicho ni miongoni mwa miradi kadhaa iliyo chini ya mradi wa Local Investment Climate(LIC) unao ratibiwa na Ofisi ya Rais TAMISEMI.

Kutokana na hali hiyo waziri Jafo ameuagiza uongozi wa Wilaya ya Kigoma kufanya ufuatiliaji wa haraka ndani ya siku nne ili kituo hicho kiweze kuwa na Wadau wote wa kutoa huduma na wananchi waweze kupata huduma ya kuanzisha na kuratibu biashara zao kwa haraka. 


Imesemekana kwamba TRA walishafika kituoni hapo na kuahidi kuleta Afisa mmoja lakini hadi leo bado jambo hilo halijafanyika hivyo kuleta usumbufu kwa wafanya biashara wanaohitaji huduma kutoka katika kituo hicho.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo alizungumza na viongozi wa Wilaya ya Kigoma ndani ya kituo cha Biashara kilichopo Wilayani humo.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa akikagua kituo cha uwezeshaji wa biashara kilichopo Manispaa ya Kigoma Ujiji Mkoani Kigoma

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo akipokea taarifa ya uendeshaji wa kituo cha biashara toka kwa watendaji wa Manispaa ya Kigoma Ujiji Mkoani Kigoma .


Hivyo makala JAFO AINYOOSHEA KIDOLE OFISI YA TRA KIGOMA

yaani makala yote JAFO AINYOOSHEA KIDOLE OFISI YA TRA KIGOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala JAFO AINYOOSHEA KIDOLE OFISI YA TRA KIGOMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/jafo-ainyooshea-kidole-ofisi-ya-tra.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "JAFO AINYOOSHEA KIDOLE OFISI YA TRA KIGOMA"

Post a Comment

Loading...