Loading...

KITUO CHA UWEKEZAJI NCHINI (TIC) CHAFURAHISHWA NA HATUA RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI KWA KUWAPA WIZARA KAMILI.

Loading...
KITUO CHA UWEKEZAJI NCHINI (TIC) CHAFURAHISHWA NA HATUA RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI KWA KUWAPA WIZARA KAMILI. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KITUO CHA UWEKEZAJI NCHINI (TIC) CHAFURAHISHWA NA HATUA RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI KWA KUWAPA WIZARA KAMILI., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KITUO CHA UWEKEZAJI NCHINI (TIC) CHAFURAHISHWA NA HATUA RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI KWA KUWAPA WIZARA KAMILI.
link : KITUO CHA UWEKEZAJI NCHINI (TIC) CHAFURAHISHWA NA HATUA RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI KWA KUWAPA WIZARA KAMILI.

soma pia


KITUO CHA UWEKEZAJI NCHINI (TIC) CHAFURAHISHWA NA HATUA RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI KWA KUWAPA WIZARA KAMILI.






Mkurugenzi wa kituo cha uwekezajiji  Geofrey Mwambe, akizungumza na waandishi wahabari (hawapo pchani) pamoja na maafisa wa kituo hicho leo jijini Dar es slaam( Picha na John Luhende).





Mkurugenzi wa kituo cha uwekezajiji  Geofrey Mwambe, akizungumza na waandishi wahabari pamoja na maafisa wa kituo hicho leo jijini Dar es slaam( Picha na John Luhende).


Na.John Luhende 
Mwamba wa habari
Kituo cha Uwekezaji Tanzania TIC, kimempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DKT John  Magufuli  kwa kufanya maamuzi ya kuanzisha Wizara inayoshughulikia  masuala ya uwekezaji, tofauti na awali ambapo shughuli zote za kituo hicho zilikuwa chini ya Wizara ya Viwanda,Biashara  na Uwekezaji .
Akizungumza na waandishi  wa habari  jijini  Dar es Salaam, Mkurugenzi wa kituohicho  Geofrey  Mwambe, amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kwa kuona umuhimu wa kukihamishia kituohicho ofisi ya Waziri Mkuu kwani kitarahisisha  utekeleji wa majukumuyake ikiwemo kusukuma hara juhudi za  uanzishwaji wa Viwanda nchini.
Ameongeza kuwa, kituohicho ni muhimu kwa kujenga uchumi wanchi, na kwamba kitendo cha kituo hicho kupewa Waziri wake na Katibu  mkuu wake utaharakisha  na kurahisisha  utekelezaji wa mipango yake,hivi karibuni Rais Magufuli alimteua Angela Kairuki kuwa waziri wa Uwekezaji na Doroth Mwaluko.kuwa katibu mkuu.
Aidha ametoa wito  kwa taasisi binafsi, taasisi za serikali  pamoja na  serikali za mitaa kushirikiana na kituohicho katika kutangaza fursa za uwekezaji ndani na nje ya nchi.
"Jana nimeongea sana na Waziri wa Fedha, amesisitiza tujitahidi sana kujenga mazingira ya uwekezaji na yawe rafiki zaidi asiwepo mtu wa kukwepa kulipa kodi na tukifanya hayo tutamsaidia sana Rais, na wawekezaji waendelee kuiona Tanzania kuwanchi salama katika Uwekezaji "Alisema Mwambe.
Hatahivyo amezitaka taasisi binafsi na mashirika yasiyo ya kiserikali  kushiriki kikamilifu na kutoangushana, na kusema kuwa hali ya uwekezaji Duniani mwaka 2018,  ili shuka kwa 23% ila kwa Afrika Mashariki Tanzania ilikuwa na USD  billion 1.365 mwakaka 2017,mwaka 2018 ilishuka hadi USD  billion 1.2  lakini iliongoza  Afrika Mashariki na kufanya vizuri kimataifa.
" Nimeona clip ya Tundu Lissu alipokuwa akihojiwa na kituo cha televisheni huko nje ya nchi, huo siyo uzalendo  inaonekana Mtangazaji  anajua zaidi anaipenda Tanzania kuliko yeye, nimemshangaa  sana ,anaibomoa nchi wakati yeye ndiyo anasema anataka kugombea 2020"Alisema.
Watanzania wanalojukumu kubwa kuisemea vizuri nchi yao kimataifa na kwamba inaongoza kuwa na mazingira Mazuri ya uwekezaji na haina tishio lolote la kigaidi kama iliyo kwa nchi nyingine.
"Naomba sana wanahabari, na watanzania wote tushirikiane na Tundu Lissu naye ni mtanzania aache kuichafua nchi maana mwisho wa siku atarejea hapanchini, namimi air udiwani Nita ongea naye anatakiwa kuwa balozi wa Uwekezaji" Alisema.
Pamoja na hayo Mwambe ameishukuru Serikali kwa kuiongezea watumishi wa kituo hicho,na Mikoa iliyotenga maeneo ya Uwekezaji.
"Naishukuru Mikoa ambayo imetenga maeneo ya uwekezaji na kuyapima hiyo itatusaidia  kwa wawekezaji wapya" Alisema.
Mradi wa Cement  hengya Tanga ni mradi mkubwa na unaendelea vizuri, katika eneo la mtimbwani Mkinga, kitakuwa kinatengeneza Cement marambili ya kiwanda cha Dangote, watakuwa na bandari yao kwaajili ya usafirishaji mizigo.




Hivyo makala KITUO CHA UWEKEZAJI NCHINI (TIC) CHAFURAHISHWA NA HATUA RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI KWA KUWAPA WIZARA KAMILI.

yaani makala yote KITUO CHA UWEKEZAJI NCHINI (TIC) CHAFURAHISHWA NA HATUA RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI KWA KUWAPA WIZARA KAMILI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KITUO CHA UWEKEZAJI NCHINI (TIC) CHAFURAHISHWA NA HATUA RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI KWA KUWAPA WIZARA KAMILI. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/kituo-cha-uwekezaji-nchini-tic.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KITUO CHA UWEKEZAJI NCHINI (TIC) CHAFURAHISHWA NA HATUA RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI KWA KUWAPA WIZARA KAMILI."

Post a Comment

Loading...