Loading...
title : LUNDO LA NGUO ZINAZOFANANA NA SARE ZA KIJESHI ZAKAMATWA MAKAMBI YA WAKIMBIZI KIGOMA
link : LUNDO LA NGUO ZINAZOFANANA NA SARE ZA KIJESHI ZAKAMATWA MAKAMBI YA WAKIMBIZI KIGOMA
LUNDO LA NGUO ZINAZOFANANA NA SARE ZA KIJESHI ZAKAMATWA MAKAMBI YA WAKIMBIZI KIGOMA
Na Editha Karlo wa blog ya jamii,Kigoma.
KAMATI ya ulinzi na usalama ya Wilaya ya Kibondo wamekamata nguo zinazofanana na za sare za kijeshi katika makambi ya wakimbizi.
Akizungumza na Waandishi wa habari ofisini kwake pamoja na kamati ya ulinzi ya usalama ya Mkoa, Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Samson Hanga alisema kuwa nguo hizo zilikamatwa tarehe 31 mwezi wa 12 mwaka jana majira ya kati saa tano asubuhi hadi sita mchana kwenye kwenye makambi ya wakimbizi.
Hanga alisema kuwa jumla ya nguo zinazofanana na sare za kijeshi 1947 zilikamatwa katika kambi ya wakimbizi ya Mtendeli na Nduta zilizopo Mkoani Kigoma.
"Kambi ya wakimbizi ya nduta zilikamatwa nguo 1325 na kambi ya wakimbizi ya mtendeli pia zilikamatwa nguo 1325"alisema
Alisema uchunguzi wa tukio hilo unaendelea ili kuwabaini waliongiza sare hizo na lengo lao.
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Samson Hanga akiongea na waandishi wa habari kuhusu kukamatwa kwa lundo la nguo zinazofanana na sare za kijeshi katika makambi ya wakimbizi Wilayani Kibondo
Hivyo makala LUNDO LA NGUO ZINAZOFANANA NA SARE ZA KIJESHI ZAKAMATWA MAKAMBI YA WAKIMBIZI KIGOMA
yaani makala yote LUNDO LA NGUO ZINAZOFANANA NA SARE ZA KIJESHI ZAKAMATWA MAKAMBI YA WAKIMBIZI KIGOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala LUNDO LA NGUO ZINAZOFANANA NA SARE ZA KIJESHI ZAKAMATWA MAKAMBI YA WAKIMBIZI KIGOMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/lundo-la-nguo-zinazofanana-na-sare-za.html
0 Response to "LUNDO LA NGUO ZINAZOFANANA NA SARE ZA KIJESHI ZAKAMATWA MAKAMBI YA WAKIMBIZI KIGOMA"
Post a Comment