Loading...
title : Maadhimisho ya Siku ya Sheria Duniani Kuadhimishwa Kisiwani Pemba
link : Maadhimisho ya Siku ya Sheria Duniani Kuadhimishwa Kisiwani Pemba
Maadhimisho ya Siku ya Sheria Duniani Kuadhimishwa Kisiwani Pemba
Mrajis wa Mahakama Kuu Zanzibar Mhe.Mohammed Ali Mohammed, akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vilioko Kisiwani Pemba kuhusiana na kukamulika kwa maandalizi Maadhimisho ya Sherehe za Siku ya Sheria Duniani, inayotarajiwa kuadhimishwa Kisiwani Pemba, Kitaifa mwaka huu..
Baadhi ya Watendaji wa Mahakama Chake Chake, wakiwa katika mkutano maalumu wa Mrajis wa Mahakama kuu Zanzibar , Mohammed Ali Mohammed, na Waandishi wa habari Kisiwani Pemba , juu ya maandalizi ya sherehe ya siku ya sheria Duniani inayotarajiwa kufanyika Kisiwani Pemba kwa Zanzibar.
Baadhi ya Waandishi wa habari wa Vyombo mbali mbali Kisiwani Pemba, wakimsikiliza kwa makini Mrajis wa Mahakama kuu Zanzibar.Mhe.Mohammed Ali Mohammed , juu ya maandalizi ya siku ya Sheria Duniani inayotarajiwa kufanyika Kisiwani Pemba sambamba na maonesho ya Shughuli za Mahakama.
Picha na Hanifa Salim -Pemba.
Picha na Hanifa Salim -Pemba.
Hivyo makala Maadhimisho ya Siku ya Sheria Duniani Kuadhimishwa Kisiwani Pemba
yaani makala yote Maadhimisho ya Siku ya Sheria Duniani Kuadhimishwa Kisiwani Pemba Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Maadhimisho ya Siku ya Sheria Duniani Kuadhimishwa Kisiwani Pemba mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/maadhimisho-ya-siku-ya-sheria-duniani.html
0 Response to "Maadhimisho ya Siku ya Sheria Duniani Kuadhimishwa Kisiwani Pemba"
Post a Comment