Loading...
title : MADEREVA MAGARI YA ABIRIA NZEGA WAILALAMIKIA HALMASHAURI YA MJI KUWAKAMATA,KUWATOZA FAINI
link : MADEREVA MAGARI YA ABIRIA NZEGA WAILALAMIKIA HALMASHAURI YA MJI KUWAKAMATA,KUWATOZA FAINI
MADEREVA MAGARI YA ABIRIA NZEGA WAILALAMIKIA HALMASHAURI YA MJI KUWAKAMATA,KUWATOZA FAINI
Na Amisa Mussa
MADEREVA wa magari madogo ya abiria ya Noah na Hiace wilayani Nzega mkoani Tabora wamelalamikia hatua zinazochukuliwa na Halmashauri ya Mji wa Nzega kuwakamata na kuwatoza faini kwa madai ya kutopakia na kushusha abiria katika kituo mpya ya mabasi badala yake wanatumia kituo cha zamani ambayo hairuhusiwi kwa mujibu wa namna walivyosajiri safari za magari yao.
Wakizungumza na Michuzi Blog ,baadhi ya madereva hao wamelelemikia oparesheni za kamatakamata zinazodaiwa kufanywa na halmashauri ya mji kwa kile kinachoelezwa kuwa wanakiuka utaratibu wa halmashauri wa kubeba abiria nje ya kituo kipya.
Kutokana na kukamatwa na kutozwa faini madereva hao wameiomba Serikali wilayani humo kuwatazama kwa jicho la tatu kwa kuwaruhusu kutumia stendi ya zamani kupakia na kushusha abiria kwa kuwa katika stendi mpya hawapati wateja wengi.
Dereva Hassan Amiri na Fredrick Ruangisa wamesema endapo gari la dereva litabainika kuwa na makosa ni vyema watendaji wa halmashauri ya mji wa Nzega wakatoa taarifa kituo cha Polisi kwa kuwa askari ndio wenye mamlaka ya kukamata magari na si vinginevyo.
"Tunaomba kwa yeyote mwenye dhamana watusaidie turudishwe stendi ya zamani huko ndio rafiki kwetu tunapata wateja wengi," amesema Hassan
Kwa upande wake Zungu Joseph na Lucas Lusumo ambao ni wamiliki wa magari madogo wameisisitiza Serikali kuwatazama kwa jicho la huruma ili warudishwe stendi ya zamani kupakia na kushusha abiria.
Kutokana na malalamiko hayo Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Nzega Philemon Magesa amesema msimamo wa halmashauri hiyo ni kusimamia kanuni na taratibu iliyojiwekea.
Amefafanua kuwa kwa sasa Mamlaka ya Usimamizi wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini(SUMATRA) Mkoa wa Tabora wapo wilayani humo kwa ajili ya kuzipaka rangi gari ndogo zinazofanya safari za mizunguko ya ndani.
Aidha imeelezwa kuwa Halmashauri ya mji wa Nzega ilifanya uamuzi wa kujenga stend mpya ya mabasi ili kupanua wigo wa ukusanyaji mapato ya Serikali kwa mwezi na ikajiwekea utaratibu kwa magari yote yanayobeba abiria kuhamishiwa katika stend hiyo mpya ya mabasi hatua ambayo imekuja kusababisha mzozo baina yake na madereva wa magari madogo, wakidai kuwa stend hiyo mpya wanakosa abiria wa kutosha kama ilivyo kwa stend ya zamani waliyoizoea ambayo ipo mjini.i.

Magari madogo ya abiria ya Noah na Hiace
Hivyo makala MADEREVA MAGARI YA ABIRIA NZEGA WAILALAMIKIA HALMASHAURI YA MJI KUWAKAMATA,KUWATOZA FAINI
yaani makala yote MADEREVA MAGARI YA ABIRIA NZEGA WAILALAMIKIA HALMASHAURI YA MJI KUWAKAMATA,KUWATOZA FAINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MADEREVA MAGARI YA ABIRIA NZEGA WAILALAMIKIA HALMASHAURI YA MJI KUWAKAMATA,KUWATOZA FAINI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/madereva-magari-ya-abiria-nzega.html
0 Response to "MADEREVA MAGARI YA ABIRIA NZEGA WAILALAMIKIA HALMASHAURI YA MJI KUWAKAMATA,KUWATOZA FAINI"
Post a Comment