Loading...
title : MAJALIWA AFUNGUA MKUTANO WA MAAFISA USTAWI WA JAMII JIJINI DODOMA
link : MAJALIWA AFUNGUA MKUTANO WA MAAFISA USTAWI WA JAMII JIJINI DODOMA
MAJALIWA AFUNGUA MKUTANO WA MAAFISA USTAWI WA JAMII JIJINI DODOMA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi cheti cha kuzaliwa mtoto, Faisal Rashidi Haroun kabla ya kufungua Mkutano wa Mwaka wa Maafisa Ustawi wa Jamii wa Mikoa na Halmashauri zote Tanzania Bara, Kwenye ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma, Januari 29, 2019. Kushoto ni Mama Mzazi wa mtoto huyo, Habiba Mohammed.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpongeza, Fundi Mkuu wa Karakana ya Vifaa Visaidizi vya Wenye Ulemavu iliyopo eneo la Sabasaba jijini Dodoma, Bw. Mwita Marwa Maki baada ya kuvutiwa na baiskeli za magurudumu matatu zilifungwa mota ambazo zimebuniwa na zinatengenezwa na karakana hiyo. Tukio hilo lilifanyika kwenye viwanja vya Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma, kabla ya Waziri Mkuu kufungua Mkutano wa Mwaka wa Maafisa Ustawi wa Jamii wa Mikoa na Halmashauri zote Tanzania Bara, Januari 29, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hivyo makala MAJALIWA AFUNGUA MKUTANO WA MAAFISA USTAWI WA JAMII JIJINI DODOMA
yaani makala yote MAJALIWA AFUNGUA MKUTANO WA MAAFISA USTAWI WA JAMII JIJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAJALIWA AFUNGUA MKUTANO WA MAAFISA USTAWI WA JAMII JIJINI DODOMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/majaliwa-afungua-mkutano-wa-maafisa.html
0 Response to "MAJALIWA AFUNGUA MKUTANO WA MAAFISA USTAWI WA JAMII JIJINI DODOMA"
Post a Comment