Loading...
title : Makabidhiano ya ofisi Wizara ya Ujenzi yafana
link : Makabidhiano ya ofisi Wizara ya Ujenzi yafana
Makabidhiano ya ofisi Wizara ya Ujenzi yafana
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI Eng. Joseph Nyamhanga akimpongeza Katibu Mkuu mpya wa Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano (sekta ya ujenzi), Arch. Elius Mwakalinga mara baada ya kumkabidhi ofisi kufuatia kuhamishiwa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI wengine ni wajumbe wa Menejimenti ya sekta ya ujenzi.
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI Eng. Joseph Nyamhanga akisisitiza jambo kwa Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano (sekta ya ujenzi), Arch. Elius Mwakalinga katika hafla ya kumkabidhi ofisi wengine ni wajumbe wa Menejimenti ya sekta ya ujenzi.
Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano (sekta ya ujenzi), Arch. Elius Mwakalinga katikati akiwa na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI Eng. Joseph Nyamhanga katika picha ya pamoja na wajumbe wa Menejimenti ya sekta ya ujenzi katika hafla ya makabidhiano ya ofisi mjini Dodoma.
Hivyo makala Makabidhiano ya ofisi Wizara ya Ujenzi yafana
yaani makala yote Makabidhiano ya ofisi Wizara ya Ujenzi yafana Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Makabidhiano ya ofisi Wizara ya Ujenzi yafana mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/makabidhiano-ya-ofisi-wizara-ya-ujenzi.html
0 Response to "Makabidhiano ya ofisi Wizara ya Ujenzi yafana"
Post a Comment