Loading...
title : Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,Aweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Nyumba ya Makaazi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mikoroshini Kisiwani Pemba.
link : Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,Aweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Nyumba ya Makaazi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mikoroshini Kisiwani Pemba.
Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,Aweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Nyumba ya Makaazi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mikoroshini Kisiwani Pemba.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipiga makofi kuashiria zoezi la uwekaji jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa makazi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar limekamilika, mwingine pichani ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mhe. Mohamed Aboud, makazi hayo yanajengwa katika eneo la Pagali Shehia ya Mikoroshini Chake Chake Pemba.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo kutoka kwa Msanifu wa Majengo kutoka Ofisi ya Wakala wa Majengo Bi. Hawa Natepe mara baada ya kuweka jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa makazi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar katika eneo la Pagali Shehia ya Mikoroshini Chake Chake Pemba
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo kutoka kwa Msanifu wa Majengo kutoka Ofisi ya Wakala wa Majengo Bi. Hawa Natepe mara baada ya kuweka jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa makazi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar katika eneo la Pagali Shehia ya Mikoroshini Chake Chake Pemba
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia mara baada ya kuweka jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa makazi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar katika eneo la Pagali Shehia ya Mikoroshini Chake Chake Pemba
Wachezaji ngoma za asili wakionyesha umaridadi kwa kucheza ngoma ya Kilumbizi yenye asili ya Pujini wilaya ya Chake Chake Pemba wakati wa hafla ya uwekaji jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa nyumba ya makazi ya Makamu wa Pili wa Rais katika eneo la Pagali, Chake Chake Pemba.
Wachezaji ngoma za asili wakionyesha umaridadi kwa kucheza ngoma ya Kilumbizi yenye asili ya Pujini wilaya ya Chake Chake Pemba wakati wa hafla ya uwekaji jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa nyumba ya makazi ya Makamu wa Pili wa Rais katika eneo la Pagali, Chake Chake Pemba. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Hivyo makala Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,Aweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Nyumba ya Makaazi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mikoroshini Kisiwani Pemba.
yaani makala yote Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,Aweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Nyumba ya Makaazi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mikoroshini Kisiwani Pemba. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,Aweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Nyumba ya Makaazi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mikoroshini Kisiwani Pemba. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/makamu-wa-rais-wa-jamuhuri-ya-muungano_10.html
0 Response to "Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,Aweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Nyumba ya Makaazi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mikoroshini Kisiwani Pemba."
Post a Comment