Loading...

MC PILIPILI ASEMA ANAMSUBIRI DIAMOND KISHA ZAMU YAKE

Loading...
MC PILIPILI ASEMA ANAMSUBIRI DIAMOND KISHA ZAMU YAKE - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MC PILIPILI ASEMA ANAMSUBIRI DIAMOND KISHA ZAMU YAKE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MC PILIPILI ASEMA ANAMSUBIRI DIAMOND KISHA ZAMU YAKE
link : MC PILIPILI ASEMA ANAMSUBIRI DIAMOND KISHA ZAMU YAKE

soma pia


MC PILIPILI ASEMA ANAMSUBIRI DIAMOND KISHA ZAMU YAKE

Na Said Mwishehe, Globu ya jamii 

MSHEHERESHAJI aliyekuwa kwenye ubora wake kwa sasa nchini Tanzania Emmanuel Mathias a.k.a MC Pilipili amesema kwa sasa anasubiri Nassib Abdull aoe na kisha naye afuatie. 

MC Pilipili amesema anafahamu ‘Caple’inayosumbua nchini Tanzania ni yake na ile ya Diamond. “Nasubiri tu Diamond afanye mambo yake pale Uwanja wa Taifa na baada ya hapo name nifanye yangu. na Diamond. 

MC Pilipili amesema hayo wakati mashabiki wake na Watanzania kwa ujumla wanaofuatilia nyendo zake wanakumbuka namna ambavyo amemwaga chozi hadharani wakati anamvisha pete ya uchumba mpenzi wake. 



Hivyo makala MC PILIPILI ASEMA ANAMSUBIRI DIAMOND KISHA ZAMU YAKE

yaani makala yote MC PILIPILI ASEMA ANAMSUBIRI DIAMOND KISHA ZAMU YAKE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MC PILIPILI ASEMA ANAMSUBIRI DIAMOND KISHA ZAMU YAKE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/mc-pilipili-asema-anamsubiri-diamond.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MC PILIPILI ASEMA ANAMSUBIRI DIAMOND KISHA ZAMU YAKE"

Post a Comment

Loading...