Loading...
title : MECHI YA SIMBA NA JS SAOURA YAUSIMAMISHA MSAFARA WA NAIBU WAZIRI KWA MUDA
link : MECHI YA SIMBA NA JS SAOURA YAUSIMAMISHA MSAFARA WA NAIBU WAZIRI KWA MUDA
MECHI YA SIMBA NA JS SAOURA YAUSIMAMISHA MSAFARA WA NAIBU WAZIRI KWA MUDA
Msafara wa Naibu waziri wa Maji Jumaa Aweso waonyesha uzalendo kwa kuungana na mashabiki wa timu ya Simba na Taifa kwa ujumla, kutazama mechi ya Simba dhidi ya JS Saoura akiwa njiani kuelekea Mara baada ya kumaliza Ziara yake katika Wilaya za Karagwe na Kyerwa.
Msafara huo umelazimika kusimama kwa Muda katika Kiwanja cha Hill top mjini Kayanga Wilayani Karagwe huku Mh. Aweso akishindwa kujizuia kuonyesha mapenzi yake dhahili kwa timu ya simba.
Naibu waziri wa maji Juma Aweso akishindwa kujizua wakati wa timu ya Simba ilipofunga goli la tatu timu dhidi ya Js soura
Hivyo makala MECHI YA SIMBA NA JS SAOURA YAUSIMAMISHA MSAFARA WA NAIBU WAZIRI KWA MUDA
yaani makala yote MECHI YA SIMBA NA JS SAOURA YAUSIMAMISHA MSAFARA WA NAIBU WAZIRI KWA MUDA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MECHI YA SIMBA NA JS SAOURA YAUSIMAMISHA MSAFARA WA NAIBU WAZIRI KWA MUDA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/mechi-ya-simba-na-js-saoura.html
0 Response to "MECHI YA SIMBA NA JS SAOURA YAUSIMAMISHA MSAFARA WA NAIBU WAZIRI KWA MUDA"
Post a Comment