Loading...
title : Mjue Inayat Kassam aliyejitolea kuokoa maisha ya wananchi kwenye mashambulizi ya Riverside na Westgate
link : Mjue Inayat Kassam aliyejitolea kuokoa maisha ya wananchi kwenye mashambulizi ya Riverside na Westgate
Mjue Inayat Kassam aliyejitolea kuokoa maisha ya wananchi kwenye mashambulizi ya Riverside na Westgate
Na Leandra Gabriel, Blogu ya Jamii
INAYAT Kassam ambae ni Mkurugenzi wa kampuni ya Scorpio Africa Ltd amejizolea umaarufu tena baada ya kuwa mmoja wa Watu waliojitolea kuokoa manusura wa shambulizi la Kigaidi la Westgate mwaka 2013 na kuendelea kupata sifa baada ya kujitokeza kwa mara nyingine kuokoa Watu waliokuwepo eneo Riverside Nairobi, Kenya lililoshambuliwa na Magaidi wa Alshabaab jana.
Septemba 21 miaka 6 iliyopita wakati magaidi walipovamia Westgate na kuua watu 62 Inayat alijitokeza na kushirikiana na vyombo vya dola na kuwanusuru mamia ya watu.
Akiwa mkufunzi wa usalama na mjuzi wa kutumia silaha za moto alijitokeza tena jana eneo la Riverside na kushirikiana na vyombo vya dola kuwaokoa manusura.
Watu wengi wamemshukuru na kumwita shujaa wa Kenya kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii.
Hivyo makala Mjue Inayat Kassam aliyejitolea kuokoa maisha ya wananchi kwenye mashambulizi ya Riverside na Westgate
yaani makala yote Mjue Inayat Kassam aliyejitolea kuokoa maisha ya wananchi kwenye mashambulizi ya Riverside na Westgate Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mjue Inayat Kassam aliyejitolea kuokoa maisha ya wananchi kwenye mashambulizi ya Riverside na Westgate mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/mjue-inayat-kassam-aliyejitolea-kuokoa.html
0 Response to "Mjue Inayat Kassam aliyejitolea kuokoa maisha ya wananchi kwenye mashambulizi ya Riverside na Westgate"
Post a Comment