Loading...

MKUTANO WA SABA WA BARAZA LA WAFANYAKAZI LA TFS WAFANYIKA KWA SIKU MBILI AICC, JIJINI ARUSHA

Loading...
MKUTANO WA SABA WA BARAZA LA WAFANYAKAZI LA TFS WAFANYIKA KWA SIKU MBILI AICC, JIJINI ARUSHA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MKUTANO WA SABA WA BARAZA LA WAFANYAKAZI LA TFS WAFANYIKA KWA SIKU MBILI AICC, JIJINI ARUSHA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MKUTANO WA SABA WA BARAZA LA WAFANYAKAZI LA TFS WAFANYIKA KWA SIKU MBILI AICC, JIJINI ARUSHA
link : MKUTANO WA SABA WA BARAZA LA WAFANYAKAZI LA TFS WAFANYIKA KWA SIKU MBILI AICC, JIJINI ARUSHA

soma pia


MKUTANO WA SABA WA BARAZA LA WAFANYAKAZI LA TFS WAFANYIKA KWA SIKU MBILI AICC, JIJINI ARUSHA

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) Prof. Dos Santos Silayo ambaye ndiye mwenyekiti wa Baraza la Saba la Wafanyakazi TFS akijadiliana jambo na katibu wa baraza hilo Ibrahim Mwanga muda mfupi baada ya kufungua kikao hicho cha siku mbili (Januari 10 - 11, 2019) katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha mapema hivi leo. Hata hivyo mwenyekiti huyo aliwaeleza wajumbe kuwa kikao hicho kitafunguliwa rasmi kesho na mgeni rasmi wa mkutano huo Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Prof. Adolf Mkenda baada ya kupatwa na dharula leo.
Baadhi ya wajumbe wa mkutano huo wakiwa wameshikana mikono huku wakiimba wimbo wa kuhamasisha mshikamano miongoni mwa wafanyakazi kama sehemu ya ufunguzi wa kikao hicho.
...baadhi ya wajumbe wakisikiliza mada ya uanzishwaji wa Chama cha Kuweka na Kukopa cha Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS SACCOS) iliyotolewa na Mwakilishi wa Chama cha Ushirika kutoka Wilaya ya Temeke, Dorina Mwanri (hayupo pichani) ambapo aliwataka viongozi wa muda walioteuliwa kuhakikisha wanazunguka kutoa elimu ya kutosha kwa wafanyakazai ili waweze kujiunga na chama hicho. TFS SACCOS imeanzishwa Disemba 2018.
Baadhi ya Wajumbe wa Mkutano wa Saba wa Baraza la Wafanyakazi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania wakijadiliana jambo kutoka kwenye bango kitita la mkutano huo.
Wajumbe wakifuatilia mkutano huo






Hivyo makala MKUTANO WA SABA WA BARAZA LA WAFANYAKAZI LA TFS WAFANYIKA KWA SIKU MBILI AICC, JIJINI ARUSHA

yaani makala yote MKUTANO WA SABA WA BARAZA LA WAFANYAKAZI LA TFS WAFANYIKA KWA SIKU MBILI AICC, JIJINI ARUSHA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MKUTANO WA SABA WA BARAZA LA WAFANYAKAZI LA TFS WAFANYIKA KWA SIKU MBILI AICC, JIJINI ARUSHA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/mkutano-wa-saba-wa-baraza-la.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MKUTANO WA SABA WA BARAZA LA WAFANYAKAZI LA TFS WAFANYIKA KWA SIKU MBILI AICC, JIJINI ARUSHA"

Post a Comment

Loading...