Loading...

MTAKWIMU MKUU WA SERIKALI ATOA TAKWIMU ZA BEI ZANZIBAR.

Loading...
MTAKWIMU MKUU WA SERIKALI ATOA TAKWIMU ZA BEI ZANZIBAR. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MTAKWIMU MKUU WA SERIKALI ATOA TAKWIMU ZA BEI ZANZIBAR., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MTAKWIMU MKUU WA SERIKALI ATOA TAKWIMU ZA BEI ZANZIBAR.
link : MTAKWIMU MKUU WA SERIKALI ATOA TAKWIMU ZA BEI ZANZIBAR.

soma pia


MTAKWIMU MKUU WA SERIKALI ATOA TAKWIMU ZA BEI ZANZIBAR.


Meneja Uchumi Benki kuu ya Tanzania tawi la Zanzibar Moto Ng'winganele Lugobi akijibu maswali yalioulizwa katika hafla ya Utoaji wa Takwimu za Bei ambapo imeonesha kushuka kutoka asilimia 4.4 kwa Mwezi wa Novemba hadi asilimia 3.5 kwa mwezi wa Disemba hafla iliofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Mazizini Mjini Zanzibar.


Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika hafla ya Utoaji wa Takwimu za Bei ambapo imeonesha kushuka kutoka asilimia 4.4 kwa Mwezi wa Novemba hadi asilimia 3.5 kwa mwezi wa Disemba hafla iliofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Mazizini Mjini Zanzibar.
Mkuu wa Takwimu za Bei kutoka Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Khamis Abdul-rahman Msham katikati akitoa maelezo kuhusiana na Takwimu za Bei ambapo imeonesha kushuka kutoka asilimia 4.4 kwa Mwezi wa Novemba hadi asilimia 3.5 kwa mwezi wa Disemba hafla iliofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Mazizini Mjini Zanzibar.kulia ni Afisa Mwandamizi Mkuu Benki kuu Tawi la Zanzibar Malik Ali Suleiman na kushoto ni Afisa Uchumi na Biashara (Zura)Omar Ali Yussuf
Mhadhiri na Mkuu wa Idara ya Uchumi Chuo Kikuu cha Taifa (SUZA)Dkt.Suleiman Simai Msaraka akitolea ufafanuzi maswala mbalimbali yalioulizwa katika hafla ya Utoaji wa Takwimu za Bei ambapo imeonesha kushuka kutoka asilimia 4.4 kwa Mwezi wa Novemba hadi asilimia 3.5 kwa mwezi wa Disemba hafla iliofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Mazizini Mjini Zanzibar.


Hivyo makala MTAKWIMU MKUU WA SERIKALI ATOA TAKWIMU ZA BEI ZANZIBAR.

yaani makala yote MTAKWIMU MKUU WA SERIKALI ATOA TAKWIMU ZA BEI ZANZIBAR. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MTAKWIMU MKUU WA SERIKALI ATOA TAKWIMU ZA BEI ZANZIBAR. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/mtakwimu-mkuu-wa-serikali-atoa-takwimu.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MTAKWIMU MKUU WA SERIKALI ATOA TAKWIMU ZA BEI ZANZIBAR."

Post a Comment

Loading...