Loading...

MTAMBO HUU UKIFUNGWA,TATIZO LA KUKATIKA KWA UMEME JIJI LA DAR KUWA HISTORIA.

Loading...
MTAMBO HUU UKIFUNGWA,TATIZO LA KUKATIKA KWA UMEME JIJI LA DAR KUWA HISTORIA. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MTAMBO HUU UKIFUNGWA,TATIZO LA KUKATIKA KWA UMEME JIJI LA DAR KUWA HISTORIA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MTAMBO HUU UKIFUNGWA,TATIZO LA KUKATIKA KWA UMEME JIJI LA DAR KUWA HISTORIA.
link : MTAMBO HUU UKIFUNGWA,TATIZO LA KUKATIKA KWA UMEME JIJI LA DAR KUWA HISTORIA.

soma pia


MTAMBO HUU UKIFUNGWA,TATIZO LA KUKATIKA KWA UMEME JIJI LA DAR KUWA HISTORIA.

 Picha hizi zinahusu kuwasili kwa Transformer moja yenye uwezo wa MVA 300 sawa na MW 240 jana katika kituo cha UBUNGO. Transformers hii itafungwa katika Kituo cha Ubungo ili kuongeza uwezo wa Sasa wa MVA 300 na kuwa MVA 600 sawa na MW 480 na hivyo kumaliza tatizo la kukatika Umeme kwa Mkoa wa Dar es Salaam.

Kazi za awali za ufungaji wa Transformer hiyo zilianza na zinatarajiwa kukamilika ifikapo tarehe 31/5/2019Tunawapongeza TANESCO kwa kutekeleza maelekezo ya Serikali # HapaKazi tu




Hivyo makala MTAMBO HUU UKIFUNGWA,TATIZO LA KUKATIKA KWA UMEME JIJI LA DAR KUWA HISTORIA.

yaani makala yote MTAMBO HUU UKIFUNGWA,TATIZO LA KUKATIKA KWA UMEME JIJI LA DAR KUWA HISTORIA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MTAMBO HUU UKIFUNGWA,TATIZO LA KUKATIKA KWA UMEME JIJI LA DAR KUWA HISTORIA. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/mtambo-huu-ukifungwatatizo-la-kukatika.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MTAMBO HUU UKIFUNGWA,TATIZO LA KUKATIKA KWA UMEME JIJI LA DAR KUWA HISTORIA."

Post a Comment

Loading...