Loading...

Mugabe: Mkoba wa rais wa zamani wa Zimbabwe uliojaa Dola za Marekani waibiwa

Loading...
Mugabe: Mkoba wa rais wa zamani wa Zimbabwe uliojaa Dola za Marekani waibiwa - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mugabe: Mkoba wa rais wa zamani wa Zimbabwe uliojaa Dola za Marekani waibiwa, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mugabe: Mkoba wa rais wa zamani wa Zimbabwe uliojaa Dola za Marekani waibiwa
link : Mugabe: Mkoba wa rais wa zamani wa Zimbabwe uliojaa Dola za Marekani waibiwa

soma pia


Mugabe: Mkoba wa rais wa zamani wa Zimbabwe uliojaa Dola za Marekani waibiwa

Watu watatu wamefikishwa mahakamani nchini Zimbabwe, wakishtakiwa kuiba mkoba uliokuwa na $150,000 (£117,600) pesa taslimu mali ya rais wa zamani wa taifa hilo Robert Mugabe.

Washukiwa hao wa wizi wanadaiwa kutumia pesa hizo kununua magari, nyumba na mifugo.

Jamaa wa rais huyo wa zamani, Constantia Mugabe, ni miongoni mwa walioshtakiwa, kwa mujibu wa taarifa katika vyombo vya habari vya serikali.

Mwanamke huyo anadaiwa kuwa na funguo za nyumba ya kijijini ya Bw Mugabe iliyo eneo la Zvimba karibu na mji mkuu wa Harare, na ndiye aliyewasaidia hao wengine kuingia humo na kufika ulikokuwa mkoba huo.

Washukiwa hao wengine walikuwa wameajiriwa kama wafanyakazi wa kufagia na kusafisha nyumbani humo wakati wa kutekelezwa kwa wizi huo siku moja kati ya tarehe 1 Desemba na mapema Januari.

"Johanne Mapurisa alinunua gari aina ya Toyota Camry... na nyumba ya $20,000 baada ya kisa hicho," mwendesha mashtaka wa serikali Teveraishe Zinyemba aliambia mahakama ya hakimu eneo la Chinhoyi."Saymore Nhetekwa alinunua gari aina ya Honda... na mifugo wengine wakiwemo nguruwe na ng'ombe wa thamani ambayo haijulikani."

Bw Mugabe, ambaye kwa sasa ana amiaka 94, aliondolewa madarakani na jeshi la Zimbabwe kwama 2017.Kufikia wakati wa kufurushwa madarakani, alikuwa amekaa madarakani kwa miaka 37, mwanzoni kama waziri mkuu na baadaye kama rais wa taifa hilo.

Wakati mmoja anakumbukwa kwa kusema kwamba taifa lolote lile haliwezi kufilisika.



Hivyo makala Mugabe: Mkoba wa rais wa zamani wa Zimbabwe uliojaa Dola za Marekani waibiwa

yaani makala yote Mugabe: Mkoba wa rais wa zamani wa Zimbabwe uliojaa Dola za Marekani waibiwa Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mugabe: Mkoba wa rais wa zamani wa Zimbabwe uliojaa Dola za Marekani waibiwa mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/mugabe-mkoba-wa-rais-wa-zamani-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Mugabe: Mkoba wa rais wa zamani wa Zimbabwe uliojaa Dola za Marekani waibiwa"

Post a Comment

Loading...