Loading...
title : NAIBU WAZIRI KANYASU AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA UINGEREZA NCHINI TANZANIA
link : NAIBU WAZIRI KANYASU AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA UINGEREZA NCHINI TANZANIA
NAIBU WAZIRI KANYASU AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA UINGEREZA NCHINI TANZANIA
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Constantine Kanyasu (kulia) akizungumza na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Sarah Cooke (katikati) mapema leo akiwa na ujumbe wake, wakati alipomtembelea ofisini kwake Mpingo House jijini Dar es Salaam.
Balozi wa Uingereza nchini Tanzania,Sarah Cooke (katikati) akizungumza na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Constantine Kanyasu(kulia) kuhusiana na mikakati mbalimbali ya kukabailiana na tatizo la ujangili wa tembo nchini mapema leo ofisini kwake Mpingo House jijini Dar es Salaam
Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Sarah Cooke (kulia) akizungumza na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Constantine Kanyasu(katikati) mapema leo mara baada ya kufanya mazungumzo ofisini kwake Mpingo House jijini Dar es Salaam
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Constantine Kanyasu(katikati) akizungumza na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Sarah Cooke (kulia) kabla ya kuagana naye wakati alipotembelewa ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
(PICHA ZOTE NA LUSUNGU HELELA-MNRT)
Hivyo makala NAIBU WAZIRI KANYASU AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA UINGEREZA NCHINI TANZANIA
yaani makala yote NAIBU WAZIRI KANYASU AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA UINGEREZA NCHINI TANZANIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NAIBU WAZIRI KANYASU AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA UINGEREZA NCHINI TANZANIA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/naibu-waziri-kanyasu-akutana-na-kufanya.html
0 Response to "NAIBU WAZIRI KANYASU AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA UINGEREZA NCHINI TANZANIA"
Post a Comment