Loading...
title : Naibu Waziri Mhe Kanyasu Akutana na Kufanya Mazungumzo na Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania.
link : Naibu Waziri Mhe Kanyasu Akutana na Kufanya Mazungumzo na Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania.
Naibu Waziri Mhe Kanyasu Akutana na Kufanya Mazungumzo na Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania.
Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Sarah Cooke mapema leo Alhamisi Januari 10, 2019 amekutana na kufanya mazungumzo na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Constantine Kanyasu katika ofisi ndogo ya Wizara ya Maliasili na Utalii. Mpingo House jijini Dar es Salaam ambapo pamoja na mambo mengine wamejadili namna ya kukabiliana na tatizo la ujangili wa tembo pamoja na mikakati ya kukuza utalii nchini.
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Constantine Kanyasu(katikati) akizungumza na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Sarah Cooke (kulia) kabla ya kuagana naye wakati alipotembelewa ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
Balozi wa Uingereza nchini Tanzania,Sarah Cooke (katikati) akizungumza na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Constantine Kanyasu(kulia) uhusiana na mikakati mbalimbali ya kukabailiana na tatizo la ujangili wa tembo nchini mapema leo ofisini kwake Mpingo House jijini Dar es Salaam
(Picha na Lusungu Helela -MNRT)
Hivyo makala Naibu Waziri Mhe Kanyasu Akutana na Kufanya Mazungumzo na Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania.
yaani makala yote Naibu Waziri Mhe Kanyasu Akutana na Kufanya Mazungumzo na Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Naibu Waziri Mhe Kanyasu Akutana na Kufanya Mazungumzo na Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/naibu-waziri-mhe-kanyasu-akutana-na.html
0 Response to "Naibu Waziri Mhe Kanyasu Akutana na Kufanya Mazungumzo na Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania."
Post a Comment