Loading...
title : Naibu Waziri Shonza Aridhishwa na Maboresho ya Uwanja wa Nyamagana
link : Naibu Waziri Shonza Aridhishwa na Maboresho ya Uwanja wa Nyamagana
Naibu Waziri Shonza Aridhishwa na Maboresho ya Uwanja wa Nyamagana
Katibu Tawala wa Wilaya ya Nyamagana Alfred Madulu akifafanua jambo kwa Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza wakati waziri huyo alipotembelea kujionea maendeleo ya marekebisho ya Uwanja wa Nyamagana jana jijini Mwanza.
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza akishika nyasi bandia za Uwanja wa Nyamagana wakati alipotembelea kujionea maendeleo ya ukarabati wa uwanja huo jana jijini Mwanza.
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza (katikati) akizunguka Uwanja wa Nyamagana kujionea maendeleo ya ukarabati wa uwanja huo jana jijini Mwanza.
Sehemu ya Uwanja wa mpira wa miguu wa Nyamagana jijini Mwanza.
Naibu Meya wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza Mhe. Bikhu Kotecha akielezea changamoto zinazoikabili Halmashauri hiyo katika kufanikisha ujenzi wa Uwanja wa Nyamagana (kushoto) wakati Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza (katikati) alipotembelea kujionea maendeleo ya ukarabati wa uwanja huo jana jijini Mwanza kulia ni Katibu Tawala wa Wilaya ya Nyamagana Alfred Madulu.
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza (katikati) akifafanua jambo kwa viongozi na wadau wa mpira wa miguu wakati alipotembelea kujionea maendeleo ya marekebisho ya Uwanja wa Nyamagana jana jijini Mwanza, kulia ni Katibu Tawala wa Wilaya ya Nyamagana Alfred Madulu na kushoto ni Naibu Meya wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza Mhe. Bikhu Kotecha.
Baadhi ya wadau wa mpira wa miguu jijini Mwanza wakimsikiliza Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza (hayupo pichani) wakati waziri huyo alipotembelea kujionea maendeleo ya marekebisho ya Uwanja wa Nyamagana jana jijini Mwanza.
Picha na WHUSM – Mwanza
Hivyo makala Naibu Waziri Shonza Aridhishwa na Maboresho ya Uwanja wa Nyamagana
yaani makala yote Naibu Waziri Shonza Aridhishwa na Maboresho ya Uwanja wa Nyamagana Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Naibu Waziri Shonza Aridhishwa na Maboresho ya Uwanja wa Nyamagana mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/naibu-waziri-shonza-aridhishwa-na.html
0 Response to "Naibu Waziri Shonza Aridhishwa na Maboresho ya Uwanja wa Nyamagana"
Post a Comment