Loading...
title : NAIBU WAZIRI ULEGA AZUNGUMZIA UMUHIMU WA KUFUFUA MIUNDOMBINU YA KUPAKIA NA KUSHUSHA NG'OMBE
link : NAIBU WAZIRI ULEGA AZUNGUMZIA UMUHIMU WA KUFUFUA MIUNDOMBINU YA KUPAKIA NA KUSHUSHA NG'OMBE
NAIBU WAZIRI ULEGA AZUNGUMZIA UMUHIMU WA KUFUFUA MIUNDOMBINU YA KUPAKIA NA KUSHUSHA NG'OMBE
Na Amisa Mussa
Naibu Waziri Wa Mifugo Na Uvuvi Adballah Ulega amesema kuna haja ya kufanya mazungumzo ya kina na Wizaraya Ujenzi na Mawasiliano kuhusu Kuishauri Wizara hiyo kuona umuhimu wa kufufua Miundombinu ya kupakia na kushusha Ng'ombe Wanaosafirishwa Kupitia Usafiri Wa Treni Ya Mizigo Hatua Ambayo Itasaidia Kupunguza Adha Kubwa Ya Usafishaji Mifugo Wanayokumbananayo Wafanyabiashara Ya Ng’ombe.
Naibu Waziri Ulega ameyasema hayo wakati alipotembelea kituo cha usafishaji cha Reli ya Kati Mjini Tabora na Kukagua Miundombinu ya Kupakia Na Kushusha Ng'ombe Wanaosafirishwa Kwa Usafiri Wa Treni.
Aidha Miundombinu Katika Kituo Cha Usafirishaji Cha Reli Ya Kati Mjini Tabora Inaonekana Kusahaulika Ambapo Naibu Waziri Huyo Amesewasihi Wafanyabiashara Ya Ng’ombe Wilayani Humo Kuendelea Kufanya Biashara Katika Mnada Wa Ipuli.
Awali Mkuu Wa Wilaya Ya Tabora Mjini KOMANYA ELIC KITWALA Na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Tabora LEOPAD ULAYA Wamesema Miundombinu Inayotumiwa Na Wafanyabiashara Na Wafugaji Wa Ngombe Ni Finyu Hatua Ambayo Inasababisha Wafanyabiashara Hao Kupata Usumbufu Wawapo Kituoni Hapo
Aidh Naibu Waziri Ulega amewasihi Wafanyabiashara wanaotumia Mnada wa Ipuli Mjini Tabora kufuata na kuzingatia Sheri, Kanuni na Taratibu ili kuepuka Migongano isiyokua ya lazima.

Hivyo makala NAIBU WAZIRI ULEGA AZUNGUMZIA UMUHIMU WA KUFUFUA MIUNDOMBINU YA KUPAKIA NA KUSHUSHA NG'OMBE
yaani makala yote NAIBU WAZIRI ULEGA AZUNGUMZIA UMUHIMU WA KUFUFUA MIUNDOMBINU YA KUPAKIA NA KUSHUSHA NG'OMBE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NAIBU WAZIRI ULEGA AZUNGUMZIA UMUHIMU WA KUFUFUA MIUNDOMBINU YA KUPAKIA NA KUSHUSHA NG'OMBE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/naibu-waziri-ulega-azungumzia-umuhimu.html
0 Response to "NAIBU WAZIRI ULEGA AZUNGUMZIA UMUHIMU WA KUFUFUA MIUNDOMBINU YA KUPAKIA NA KUSHUSHA NG'OMBE"
Post a Comment