Loading...
title : Rais Dk Shein afungua Jengo la jipya la wakala wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali ya Zanzibar pamoja na Maabara ya Vinasaba(DNA)
link : Rais Dk Shein afungua Jengo la jipya la wakala wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali ya Zanzibar pamoja na Maabara ya Vinasaba(DNA)
Rais Dk Shein afungua Jengo la jipya la wakala wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali ya Zanzibar pamoja na Maabara ya Vinasaba(DNA)
Jengo la jipya la wakala wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali ya Zanzibar pamoja na Maabara ya Vinasaba(DNA) lililofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Ali Mohamed Shein Maruhubi Wilaya ya mjini Unguja.Ikiwa ni shamra shamra za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Ali Mohamed Shein akikunjuwa kitambaa kuashiria Ufunguzi wa Jengo jipya la wakala wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali ya Zanzibar pamoja na Maabara ya Vinasaba (DNA) Maruhubi Wilaya ya mjini Unguja.Ikiwa ni shamra shamra za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Ali Mohamed Shein akikata utepe kuashiria Ufunguzi wa Jengo jipya la wakala wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali ya Zanzibar pamoja na Maabara ya Vinasaba(DNA)Maruhubi Wilaya ya mjini Unguja.Ikiwa ni shamra shamra za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Ali Mohamed Shein akitoa hotuba ya Ufunguzi wa Jengo jipya la wakala wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali ya Zanzibar pamoja na Maabara ya Vinasaba(DNA)Maruhubi Wilaya ya mjini Unguja.Ikiwa ni shamra shamra za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Baadhi ya Wageni waalikwa waliohudhuria katika Ufunguzi wa Jengo jipya la wakala wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali ya Zanzibar pamoja na Maabara ya Vinasaba(DNA)Maruhubi Wilaya ya mjini Unguja.Ikiwa ni shamra shamra za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Asha Ali Abdulla akizungumza machache katika sherehe za ufunguzi wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali ya Zanzibar pamoja na Maabara ya Vinasaba(DNA)Maruhubi Wilaya ya mjini Unguja.Ikiwa ni shamra shamra za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
-Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Ali Mohamed Shein akipokea zawadi maalum aliokabidhiwa na Mkemia Mkuu wa Serikali ya Zanzibar Dk,Silima Rashid Juma katika sherehe za ufunguzi wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali ya Zanzibar pamoja na Maabara ya Vinasaba(DNA)Maruhubi Wilaya ya mjini Unguja.Ikiwa ni shamra shamra za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
Hivyo makala Rais Dk Shein afungua Jengo la jipya la wakala wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali ya Zanzibar pamoja na Maabara ya Vinasaba(DNA)
yaani makala yote Rais Dk Shein afungua Jengo la jipya la wakala wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali ya Zanzibar pamoja na Maabara ya Vinasaba(DNA) Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais Dk Shein afungua Jengo la jipya la wakala wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali ya Zanzibar pamoja na Maabara ya Vinasaba(DNA) mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/rais-dk-shein-afungua-jengo-la-jipya-la.html
0 Response to "Rais Dk Shein afungua Jengo la jipya la wakala wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali ya Zanzibar pamoja na Maabara ya Vinasaba(DNA)"
Post a Comment