Loading...
title : RAIS DKT. MAGUFULI ASHUHUDIA UTIWAJI SAINI MAKUBALIANO KATI YA SERIKALI NA AIRTEL
link : RAIS DKT. MAGUFULI ASHUHUDIA UTIWAJI SAINI MAKUBALIANO KATI YA SERIKALI NA AIRTEL
RAIS DKT. MAGUFULI ASHUHUDIA UTIWAJI SAINI MAKUBALIANO KATI YA SERIKALI NA AIRTEL
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishuhudia Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba Kabud akipeana mikono na Mwenyekiti wa kampuni ya Bharti Airtel Bw. Sunnil Mittal baada ya kutiwa saini kwa makubaliano mapya ya ubia kati ya serikali itayokuwa na asilimia 49 na Airtel asilimia 51 kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 15, 2019. Katikati ni Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba Kabudi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania Bw. Sunil Colaso baada ya makubaliano mapya ya ubia kati ya serikali itayokuwa na asilimia 49 na Airtel yenye asilimia 51 kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 15, 2019. Katikati ni Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba Kabudi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishuhudia Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba Kabud akipeana mikono na Mwenyekiti wa kampuni ya Bharti Airtel Bw. Sunnil Mittal baada ya kutiwa saini kwa makubaliano mapya ya ubia kati ya serikali itayokuwa na asilimia 49 na Airtel asilimia 51 kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 15, 2019. Katikati ni Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba Kabudi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Mwenyekiti wa kampuni ya Bharti Airtel Bw. Sunil Mittal baada ya kushuhudia zoezi la kutiwa saini kwa makubaliano mapya ya ubia kati ya serikali itayokuwa na asilimia 49 na Airtel na asilimia 51 kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 15, 2019. Katikati ni Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba Kabudi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba Kabudi aliyeongoza timu ya Serikali katika mazungumzo na kampuni ya Bharti Airtel katika kufikia makubaliano mapya ya ubia kati ya serikali itayokuwa na asilimia 49 na kampuni hiyo asilimia 51 kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 15, 2019. Wengine ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, Katibu Mkuu wizara ya Fedha na Mipango Bw. Doto James, Mwenyekiti wa Bharti Airtel Bw. Sunnil Mittal na ujumbe wake pamoja na ujumbe wa serikali.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Mwenyekiti wa kampuni ya Bharti Airtel Bw. Sunnil Mittal na ujumbe wake pamoja na ujumbe wa serikali baada ya kupata picha ya pamoja ya kumbukumbu ya kutiwa saini kwa makubaliano mapya ya ubia kati ya serikali itayokuwa na asilimia 49 na Airteml asilimia 51 kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 15, 2019. Katikati ni Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba Kabudi.
Picha na Ikulu.
Hivyo makala RAIS DKT. MAGUFULI ASHUHUDIA UTIWAJI SAINI MAKUBALIANO KATI YA SERIKALI NA AIRTEL
yaani makala yote RAIS DKT. MAGUFULI ASHUHUDIA UTIWAJI SAINI MAKUBALIANO KATI YA SERIKALI NA AIRTEL Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT. MAGUFULI ASHUHUDIA UTIWAJI SAINI MAKUBALIANO KATI YA SERIKALI NA AIRTEL mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/rais-dkt-magufuli-ashuhudia-utiwaji_15.html
0 Response to "RAIS DKT. MAGUFULI ASHUHUDIA UTIWAJI SAINI MAKUBALIANO KATI YA SERIKALI NA AIRTEL"
Post a Comment