Loading...
title : RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AWASILI KISIWANI PEMBA KUHUDHURIA SHEREHE ZA MIAKA 55 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR
link : RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AWASILI KISIWANI PEMBA KUHUDHURIA SHEREHE ZA MIAKA 55 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR
RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AWASILI KISIWANI PEMBA KUHUDHURIA SHEREHE ZA MIAKA 55 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe. Hemed Suleiman Abdallah, alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Karume Kisiwani Pemba,kwa ajili ya kuhudhuria Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar zinazotarajiwa kufanyika kesho Januari 12/2019, katika Uwanja wa Ngombani Pemba.(Pichja na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe. Hemed Suleiman Abdallah, baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Karume Chakechake Kisiwani Pemba, akielekea katika chumba cha VIP.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Viongozi wa Serikali na Chama waliopfika kumpokea katika Uwanja wa Ndege wa Karume Chakechake Kisiwani Pemba, baada ya kuwasili kisiwani humo kuhudhuria Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar,(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Viongozi wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Kisiwani Pemba, baafda ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Karume Chakechake Kisiwani Pemba.(Picha na Ikulu)
Hivyo makala RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AWASILI KISIWANI PEMBA KUHUDHURIA SHEREHE ZA MIAKA 55 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR
yaani makala yote RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AWASILI KISIWANI PEMBA KUHUDHURIA SHEREHE ZA MIAKA 55 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AWASILI KISIWANI PEMBA KUHUDHURIA SHEREHE ZA MIAKA 55 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/rais-wa-zanzibar-dk-shein-awasili.html
0 Response to "RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AWASILI KISIWANI PEMBA KUHUDHURIA SHEREHE ZA MIAKA 55 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR"
Post a Comment