Loading...

SHIRIKISHO LA VYAMA VYA WACHIMBA MADINI NCHINI YASIKILIZA KERO ZA WACHIMBAJI WA MKOA DAR,PWANI

Loading...
SHIRIKISHO LA VYAMA VYA WACHIMBA MADINI NCHINI YASIKILIZA KERO ZA WACHIMBAJI WA MKOA DAR,PWANI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SHIRIKISHO LA VYAMA VYA WACHIMBA MADINI NCHINI YASIKILIZA KERO ZA WACHIMBAJI WA MKOA DAR,PWANI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SHIRIKISHO LA VYAMA VYA WACHIMBA MADINI NCHINI YASIKILIZA KERO ZA WACHIMBAJI WA MKOA DAR,PWANI
link : SHIRIKISHO LA VYAMA VYA WACHIMBA MADINI NCHINI YASIKILIZA KERO ZA WACHIMBAJI WA MKOA DAR,PWANI

soma pia


SHIRIKISHO LA VYAMA VYA WACHIMBA MADINI NCHINI YASIKILIZA KERO ZA WACHIMBAJI WA MKOA DAR,PWANI

Na Ripota Wetu,Globu ya jamii

SHIRIKISHO la Vyama vya Wachimbaji wa Madini nchini (FEMATA) limefanya ziara ya kutembelea wachimbaji wa Mkoa Dar es salaam na Pwani ambapo wametumia nafasi hiyo kutoa elimu kwa wachimbaji pamoja na kusikiliza kero na kutatua.

Ziara hiyo iliongozwa na Rais wa FEMATA John Bina akiwa ameambatana na uongozi wa chama cha wachimbaji Mkoa wa Dar es salaam na Pwani (DARCOREMA) ambapo pia ujumbe huo ulitembelea wadau wa sekta ya madini wakiwemo wazalishaji na wasambazaji wa vifaa vya wachimbaji vikiwemo Baruti na mitambo ya inayotumiwa na wachimbaji.

Kwa mujibu wa Bina wachimbaji kupitia vyama vyao hawana budi kutatua changamoto zao kupitia meza ya mazungumzo baina hao na Serikali.

Mojawapo ya kero zilizoonekana kukithiri Kwa wachimbaji ni pamoja na wengi wao kukosa mitaji na hivyo kulazimika kuingia ubia na wawekezaji wa Nje makubaliano ambayo Mara nyingi ukosa usawa kibiashara.

Pia Bina amesema tayari shirikisho limeandaa mpango wa namna ya kuwasaidia wachimbaji kutatua changamoto hizo.
 Pichani kati aliyevaa suti nyeusi ni Rais wa FEMATA akiwa wizarani akizungumza na viongozi wa chama cha wachimbaji Mkoa wa  Dar es salaam na Pwani. 
 Baadhi ya viongozi wa Shirikisho la wachimba madini nchini wakipata maelezo baada ya kufanya ziara ya kuwatembelea wachimbaji wa madini Mkoa wa Dar es Salaam
  Baadhi ya viongozi wa Shirikisho la wachimba madini nchini wakiwa kwenye moja ya eno la uchimbaji madini wakipata maelezo kwenye ziara yao kuwatembelea wachimbaji wa madini Mkoa wa Dar es Salaam.


Hivyo makala SHIRIKISHO LA VYAMA VYA WACHIMBA MADINI NCHINI YASIKILIZA KERO ZA WACHIMBAJI WA MKOA DAR,PWANI

yaani makala yote SHIRIKISHO LA VYAMA VYA WACHIMBA MADINI NCHINI YASIKILIZA KERO ZA WACHIMBAJI WA MKOA DAR,PWANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SHIRIKISHO LA VYAMA VYA WACHIMBA MADINI NCHINI YASIKILIZA KERO ZA WACHIMBAJI WA MKOA DAR,PWANI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/shirikisho-la-vyama-vya-wachimba-madini.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SHIRIKISHO LA VYAMA VYA WACHIMBA MADINI NCHINI YASIKILIZA KERO ZA WACHIMBAJI WA MKOA DAR,PWANI"

Post a Comment

Loading...