Loading...

SIMBA KUTUMIA 'YES WE CAN' KUUJAZA UWANJA KATIKA MECHI YAO DHIDI YA JS SAOURA YA ALGERIA ,KUCHUKUA POINT 3

Loading...
SIMBA KUTUMIA 'YES WE CAN' KUUJAZA UWANJA KATIKA MECHI YAO DHIDI YA JS SAOURA YA ALGERIA ,KUCHUKUA POINT 3 - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SIMBA KUTUMIA 'YES WE CAN' KUUJAZA UWANJA KATIKA MECHI YAO DHIDI YA JS SAOURA YA ALGERIA ,KUCHUKUA POINT 3, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SIMBA KUTUMIA 'YES WE CAN' KUUJAZA UWANJA KATIKA MECHI YAO DHIDI YA JS SAOURA YA ALGERIA ,KUCHUKUA POINT 3
link : SIMBA KUTUMIA 'YES WE CAN' KUUJAZA UWANJA KATIKA MECHI YAO DHIDI YA JS SAOURA YA ALGERIA ,KUCHUKUA POINT 3

soma pia


SIMBA KUTUMIA 'YES WE CAN' KUUJAZA UWANJA KATIKA MECHI YAO DHIDI YA JS SAOURA YA ALGERIA ,KUCHUKUA POINT 3

*Manara asema wametumwa na Rais, lazima wachukue ubingwa, wachezaji kutua kesho wakitokea Z'bar

*Asifu uwezo wa Kocha wao,agusia umuhimu wa kununua jezi kuichangia Klabu yao

Na Said Mwishehe,Globu ya jamii

KLABU ya Soka ya Simba imesema maandalizi ya mchezo wao dhidi ya JS Saoura ya Algeria Jumamosi ya Januari 12 katika dimba la Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam yanakwenda vizuri ,hivyo imewataka mashabiki ,wanachama wao na wapenzi wa soka kujitokeza kwa wingi na uwanja utakuwa wazi kuanzia saa nne asubuhi.

Pia imesema kutokana na jukumu ambalo lipo mbele yao la kutumwa nchini kwenye mchezo huo la ligi hiyo ya mabingwa Afrika ,wameamua wachezaji wao waliopo kwenye Kombe la Mapinduzi Zanzibar watarudi kesho kwa ajili ya mechi iliyopo mbele yao.

Akizungumza leo jijini Dar es Salaam Msemaji wa Klabu ya Simba Hajji Manara amesema wakati wakijiandaa na mchezo huo wa Jumamosi ,mchezaji wao Eras to Nyoni amepata majeraha wakati wa mchezo dhidi ya KMKM ya Zanzibar.

Amefafanua jopo la madaktari wa Simba pamoja na madaktari wataasisi nyingine wametoa ripoti kuwa Nyoni anahitaji tiba maalum na mapumziko ya kutosha,kimsingi ni kwamba atarudi uwanjani katikati ya Februari.Kuhusu mchezo wao dhidi ya JS Saoura amesema wanakwenda kucheza na timu kubwa na kwamba lengo lao la kwanza lilikuwa ni kuingia hatua ya makundi na baada ya hapo wanafikiria malengo makubwa zaidi.



Hivyo makala SIMBA KUTUMIA 'YES WE CAN' KUUJAZA UWANJA KATIKA MECHI YAO DHIDI YA JS SAOURA YA ALGERIA ,KUCHUKUA POINT 3

yaani makala yote SIMBA KUTUMIA 'YES WE CAN' KUUJAZA UWANJA KATIKA MECHI YAO DHIDI YA JS SAOURA YA ALGERIA ,KUCHUKUA POINT 3 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SIMBA KUTUMIA 'YES WE CAN' KUUJAZA UWANJA KATIKA MECHI YAO DHIDI YA JS SAOURA YA ALGERIA ,KUCHUKUA POINT 3 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/simba-kutumia-yes-we-can-kuujaza-uwanja.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SIMBA KUTUMIA 'YES WE CAN' KUUJAZA UWANJA KATIKA MECHI YAO DHIDI YA JS SAOURA YA ALGERIA ,KUCHUKUA POINT 3"

Post a Comment

Loading...