Loading...

TCRA KUTOA ELIMU KUHUSU MITANDAO YA KIJAMII JIJINI MBEYA

Loading...
TCRA KUTOA ELIMU KUHUSU MITANDAO YA KIJAMII JIJINI MBEYA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TCRA KUTOA ELIMU KUHUSU MITANDAO YA KIJAMII JIJINI MBEYA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TCRA KUTOA ELIMU KUHUSU MITANDAO YA KIJAMII JIJINI MBEYA
link : TCRA KUTOA ELIMU KUHUSU MITANDAO YA KIJAMII JIJINI MBEYA

soma pia


TCRA KUTOA ELIMU KUHUSU MITANDAO YA KIJAMII JIJINI MBEYA



Dunia ya sasa ni kijiji, na Ulimwengu wa sasa Unaendeshwa na mitandao ya kijamii.

Jambo ambalo halikwepeki, bali inabidi tulielewe na kulitumia vizuri, ili liwe na faida kwetu Kwani ni Fursa kwa dunia ya sasa.

Mitandao ya kijamii inaendesha Kuanzia maisha yetu binafsi , Serikali, Elimu, Uchumi na Mawasiliano mengi ambayo yanaendesha maisha yetu ya kila siku.

KUKAJAH COMPANY kwa kutambua ilo, imeanzisha mchakato wa kuwashirikisha makundi mbalimbali ya wanachi wa Tanzania hususan Vijana, Weledi wa kutumia vizuri mitandao ya kijamii kwa manufaa yao binafsi pamoja na Taifa kwa ujumla.

Jumamosi ya Tarehe 12/1/2019 Tutazindua mchakato wetu wa kwanza Mkoani Mbeya pale TUGHIMBE HALL kuanzia saa 5 asubuhi , Mpaka saa 9mchana ( 11am to 3pm).

WANACHI WOTE MNAKARIBISHWA. HAKUNA KIINGILIO, NI BURE.

Watoa mada ni Mamlaka ya mawasiliano Tanzania ( TCRA ). Pamoja tujenge Taifa letu. ASANTE cc@kukajahcompany


Hivyo makala TCRA KUTOA ELIMU KUHUSU MITANDAO YA KIJAMII JIJINI MBEYA

yaani makala yote TCRA KUTOA ELIMU KUHUSU MITANDAO YA KIJAMII JIJINI MBEYA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TCRA KUTOA ELIMU KUHUSU MITANDAO YA KIJAMII JIJINI MBEYA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/tcra-kutoa-elimu-kuhusu-mitandao-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TCRA KUTOA ELIMU KUHUSU MITANDAO YA KIJAMII JIJINI MBEYA"

Post a Comment

Loading...