Loading...

TTB Kuwezeashwa Kutangaza Vivutio Vya Utalii wa Ndani na Nje ya Nchini.

Loading...
TTB Kuwezeashwa Kutangaza Vivutio Vya Utalii wa Ndani na Nje ya Nchini. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TTB Kuwezeashwa Kutangaza Vivutio Vya Utalii wa Ndani na Nje ya Nchini., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TTB Kuwezeashwa Kutangaza Vivutio Vya Utalii wa Ndani na Nje ya Nchini.
link : TTB Kuwezeashwa Kutangaza Vivutio Vya Utalii wa Ndani na Nje ya Nchini.

soma pia


TTB Kuwezeashwa Kutangaza Vivutio Vya Utalii wa Ndani na Nje ya Nchini.

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Constantine Kanyasu  akifanya mahojiano kwenye kipindi cha "Jambo Tanzania" kinachoruka TBC 1 akielezea mikakati ya wizara hiyo jinzi ilivyojipanga kutangaza vivutio vya utalii ndani na nje ya nchi kupitia Bodi ya Taifa ya Utalii leo  Mikocheni  jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mtangazaji wa TBC1, Mbozi Katala
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Constantine Kanyasu  akifanya mahojiano kwenye kipindi cha "Asubuhi Hii " kinachoruka TBC TAIFA akielezea mikakati ya wizara hiyo jinzi ilivyojipanga kutangaza vivutio vya utalii ndani na nje ya nchi kupitia Bodi ya Taifa ya Utalii leo  Mikocheni  jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mtangazaji wa TBC TAIFA, Asha Haji 
( Picha na Lusungu Helela)

Na.Lusungu Helela - Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Constantine Kanyasu amesema Serikali inaangalia  namna bora ya  kuiwezesha  Bodi ya Taifa ya Utalii (TTB)   ili iweze kutekeleza majukumu yake ipasavyo badala ya  kila Taasisi kujikuta  ikitangaza vivutio vya Utalii ilivyonavyo kivyake . 

Ameyasema hayo leo Jumatano Januari 9, 2019 wakati alipokuwa akifanya mahojiano kwenye kipindi cha "Jambo Tanzania" kinachoruka TBC1na kipindi cha "Asubuhi Hii" kinachoruka TBC Taifa Mikocheni  jijini Dar es Salaam

Aidha, ameitaka TTB ianze  kutangaza vivutio vya utalii kwa mfumo wa vifurushi (Packages) ili watalii wanapokuja waweze kutembelea sehemu mbalimbali za vivutio badala ya kwenda moja kwa moja Hifadhi ya Taifa ya Serengeti au Ngorongoro pekee.

" Tunataka mtalii kabla hajafika Hifadhi ya Taifa ya Ruaha aende akaone jiwe la maajabu la Gangilonga akitoka hapo apitie Boma la Mjerumani ndo aende zake Ruaha" amesema Mhe.Kanyasu.

Pia amesema Wizara inajipanga kuanza kutumia watu maarufu wakiwemo wasanii pamoja na wacheza mpira kwa kuwadhamini lengo likiwa ni kutangaza vivutio vya utalii ndani na nje ya nchi


Hivyo makala TTB Kuwezeashwa Kutangaza Vivutio Vya Utalii wa Ndani na Nje ya Nchini.

yaani makala yote TTB Kuwezeashwa Kutangaza Vivutio Vya Utalii wa Ndani na Nje ya Nchini. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TTB Kuwezeashwa Kutangaza Vivutio Vya Utalii wa Ndani na Nje ya Nchini. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/ttb-kuwezeashwa-kutangaza-vivutio-vya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "TTB Kuwezeashwa Kutangaza Vivutio Vya Utalii wa Ndani na Nje ya Nchini."

Post a Comment

Loading...