Loading...
title : Uchaguzi DRC: Martin Fayulu atangaza kwenda mahakamani kupinga ushindi wa Tshisekedi
link : Uchaguzi DRC: Martin Fayulu atangaza kwenda mahakamani kupinga ushindi wa Tshisekedi
Uchaguzi DRC: Martin Fayulu atangaza kwenda mahakamani kupinga ushindi wa Tshisekedi
Mgombea wa upinzani aliyeshindwa katika uchaguzi wa Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC) uliofanyika Disemba 30 ameapa kuyapinga matokeo mahakamani.
Martin Fayulu ameiambia BBC kuwa raia wa Congo wanastahili kujua ukweli wa uchaguzi, mabao ameutaja kuwa ni "mapinduzi".
Mgombea mwengine wa upinzani Felix Tshisekedi, alitangazwa kuibuka na ushindi katika kinyang'anyiro hicho, lakini kumekuwa na tuhuma kuwa mshindi huyo ameingia makubaliano ya kisiasa na rais aondokaye Joseph Kabila.
Tayari watu kadha wanaripotiwa kuuawa na wengine kujeruhiwa toka matokeo hayo yalipotangazwa.Uchaguzi huo unakamilisha safari ya miaka 18 madarakani ya Joseph Kabila.
Matokeo hayo, endapo yatathibitishwa, yataweka historia ya makabidhiano ya amani ya hatamu za uongozi toka nchi hiyo ilipopata uhuru wake toka kwa wakoloni wa Ubelgiji mwaka 1960.
Kanisa lenye ushawishi mkubwa la Katoliki ambalo lilikuwa na waangalizi wa uchaguzi 40,000 limesema matokeo yaliyotangazwa hayaendani na matokeo waliyonayo.
Fayulu amesema nini?
Akiongea na mhariri wa BBC wa Afrika Fergal Keane, Bw Fayulu amesema atayapinga matokeo hayo kwenye mahakama ya katiba.
Hivyo makala Uchaguzi DRC: Martin Fayulu atangaza kwenda mahakamani kupinga ushindi wa Tshisekedi
yaani makala yote Uchaguzi DRC: Martin Fayulu atangaza kwenda mahakamani kupinga ushindi wa Tshisekedi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Uchaguzi DRC: Martin Fayulu atangaza kwenda mahakamani kupinga ushindi wa Tshisekedi mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/uchaguzi-drc-martin-fayulu-atangaza.html
0 Response to "Uchaguzi DRC: Martin Fayulu atangaza kwenda mahakamani kupinga ushindi wa Tshisekedi"
Post a Comment