Loading...

UJUMBE WA MFUKO WA SHEIKH KHALIFA FUND FOR ENTERPRISE DEVELOPMENT WATEMBELEA ZANZIBAR

Loading...
UJUMBE WA MFUKO WA SHEIKH KHALIFA FUND FOR ENTERPRISE DEVELOPMENT WATEMBELEA ZANZIBAR - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UJUMBE WA MFUKO WA SHEIKH KHALIFA FUND FOR ENTERPRISE DEVELOPMENT WATEMBELEA ZANZIBAR, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UJUMBE WA MFUKO WA SHEIKH KHALIFA FUND FOR ENTERPRISE DEVELOPMENT WATEMBELEA ZANZIBAR
link : UJUMBE WA MFUKO WA SHEIKH KHALIFA FUND FOR ENTERPRISE DEVELOPMENT WATEMBELEA ZANZIBAR

soma pia


UJUMBE WA MFUKO WA SHEIKH KHALIFA FUND FOR ENTERPRISE DEVELOPMENT WATEMBELEA ZANZIBAR

 KATIBU Mkuu Wizara ya Biashara na Viwanda Zanzibar Ndg.Juma  Ali Juma, akisalimiana na Afisa wa Mfuko wa Khalifa Fund for Enterprise Development Ndg. Abdulah Al Jarwani, wakati wakiwa sili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, kwa ziara ya siku tatu kutembelea Miradi mbalimbali Zanzibar.(Picha na Ikulu)
 KATIBU Mkuu Wizara ya Biashara na Viwanda Zanzibar Ndg Juma Ali Juma, akizungumza na Ujumbe wa Mfuko wa Khalifa Fund for Enterprise Development ya Abudha Dhabi UAE, ulipowasili Zanzibar kwa ziara ya Siku Tatu ukiongozwa na Mkurugenzi Nizar Cheniour, mwenye fula nyeusi. wakiwa katika ukumbi wa VIP uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, baada ya kuwasili kwa ziara ya siku tatu Zanzibar.(Picha na Ikulu)
 KIONGOZI wa Mfuko wa Khalifa Fund for Enterprise Development wa Abu Dhabi UAE, ukiongozwa na Mkurugenzi Ndg. Nazar Cheniour, akizungumza na Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, kutembelea Miradi mbalimbali ya Maendeleo Zanzibar.(Picha na Ikulu)
 AFISA wa Mfuko wa Khalifa Fund for Enterprise Development Ndg. Ali Al Saad, akipata maelezo ya kutoka kwa Mkurugenzi wa Ushirika wa Fakirice Milling Enterprises wa Kisongoni Ndg. Yussuf Faki Yussuf, akitowa maelezo ya usagaji wa mpuga katika ushirika wao wakati walipotembelea ushirika huo leo.(Picha na Ikulu)
KATIBU Mkuu Wizara ya Biashara na Viwanda Ndg Juma Ali Juma, akitowa maelezo kwa Kiongozi wa Ujumbe wa Mfuko wa Khalifa Fund for Enterprise Development Ndg. Nizar Cheniour, walipotembelea Ushirika wa Fakirice Milling Enterprises Kisongoni,unaojishughulisha na kukoboa mpunga.(Picha na Ikulu)


Hivyo makala UJUMBE WA MFUKO WA SHEIKH KHALIFA FUND FOR ENTERPRISE DEVELOPMENT WATEMBELEA ZANZIBAR

yaani makala yote UJUMBE WA MFUKO WA SHEIKH KHALIFA FUND FOR ENTERPRISE DEVELOPMENT WATEMBELEA ZANZIBAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UJUMBE WA MFUKO WA SHEIKH KHALIFA FUND FOR ENTERPRISE DEVELOPMENT WATEMBELEA ZANZIBAR mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/ujumbe-wa-mfuko-wa-sheikh-khalifa-fund.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "UJUMBE WA MFUKO WA SHEIKH KHALIFA FUND FOR ENTERPRISE DEVELOPMENT WATEMBELEA ZANZIBAR"

Post a Comment

Loading...