Loading...

VIKAO VYA KAMATI ZA BUNGE ZA MIUNDOMBINU, MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA

Loading...
VIKAO VYA KAMATI ZA BUNGE ZA MIUNDOMBINU, MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa VIKAO VYA KAMATI ZA BUNGE ZA MIUNDOMBINU, MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : VIKAO VYA KAMATI ZA BUNGE ZA MIUNDOMBINU, MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA
link : VIKAO VYA KAMATI ZA BUNGE ZA MIUNDOMBINU, MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA

soma pia


VIKAO VYA KAMATI ZA BUNGE ZA MIUNDOMBINU, MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA

 Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu wakiwa katika kikao  kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma wakimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dkt. Agnes Kijazi wakati akiwasilisha mada katika kikao cha Kamati hiyo.
 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dkt. Agnes Kijazi wakati akiwasilisha mada katika kikao cha Kamati ya Bunge ya Mindombinu katika kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika Bungeni Jijini Dodoma, kushoto kwake ni mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. Moshi Kakoso.
 Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu wakiwa katika kikao kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma wakimsikiliza Mwanasheria wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dkt. Agnes Kijazi wakati akiwasilisha mada katika kikao cha Kamati hiyo.
Mwanasheria wa Bunge, Ndugu Thomas Shawa akiwapitisha wajumbe wa Kamati ya Miundombinu katika Muswada Sheria ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania wa mwaka 2018 unaotarajiwa kuwasilishwa na Serikali katika Kamati hiyo Januari 16, 2018. Wa kwanza ni mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. Moshi Kakoso.Kikao hicho cha Kamati kimefanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Mhe. Mussa Zungu akiongoza kikao cha kamati hiyo killichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma ambapo walipokea na kujadili taarifa ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kuhusu utekelezaji wa bajeti ya wizara hiyo kwa kipindi cha Julai mpaka Desemba mwaka 2018. 
 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Kangi Lugola akiwa katika kikao cha Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama killichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma ambapo wizara yake iliwasilisha taarifa ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kuhusu utekelezaji wa bajeti ya wizara hiyo kwa kipindi cha Julai mpaka Desemba mwaka 2018.pembeni yake ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali Jacob Kingu.



Hivyo makala VIKAO VYA KAMATI ZA BUNGE ZA MIUNDOMBINU, MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA

yaani makala yote VIKAO VYA KAMATI ZA BUNGE ZA MIUNDOMBINU, MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala VIKAO VYA KAMATI ZA BUNGE ZA MIUNDOMBINU, MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/vikao-vya-kamati-za-bunge-za.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "VIKAO VYA KAMATI ZA BUNGE ZA MIUNDOMBINU, MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA"

Post a Comment

Loading...