Loading...

Vodacom waendelea kugawa Tuzo Points

Loading...
Vodacom waendelea kugawa Tuzo Points - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Vodacom waendelea kugawa Tuzo Points, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Vodacom waendelea kugawa Tuzo Points
link : Vodacom waendelea kugawa Tuzo Points

soma pia


Vodacom waendelea kugawa Tuzo Points

Wafanyakazi wa kampuni ya Vodacom Tanzania wakiwazawadia wateja wa mtandao huo Tuzo Points pamoja na zawadi nyingine katika kampeni ya 'Baki Mule Mule Utuzwe na Tuzo Points' iliyofanyika eneo la Rock City Mall jijini Mwanza. 
Wateja wa Vodacom wanaweza kupata Tuzo Points pale wanaponunua salio au kufanya miamala kupitia M-Pesa . Pointi hizo zinaweza kubadilishwa kuwa fedha, salio au bando. Katika msimu huu wa sikukuu, Vodacom Tanzania inawazawadia wateja wao pointi za Tuzo zenye thamani ya shilling Bilioni moja.


Hivyo makala Vodacom waendelea kugawa Tuzo Points

yaani makala yote Vodacom waendelea kugawa Tuzo Points Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Vodacom waendelea kugawa Tuzo Points mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/vodacom-waendelea-kugawa-tuzo-points.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Vodacom waendelea kugawa Tuzo Points"

Post a Comment

Loading...