Loading...
title : WABUNGE UINGEREZA WAJIANDAA KUPIGA KURA YA KUKUBALI AU KUKATAA MPANGO WA THERESA MAY KUJITOA UMOJA WA ULAYA
link : WABUNGE UINGEREZA WAJIANDAA KUPIGA KURA YA KUKUBALI AU KUKATAA MPANGO WA THERESA MAY KUJITOA UMOJA WA ULAYA
WABUNGE UINGEREZA WAJIANDAA KUPIGA KURA YA KUKUBALI AU KUKATAA MPANGO WA THERESA MAY KUJITOA UMOJA WA ULAYA
Na Ripota Wetu, BBC
IMEELEZWA Wabunge nchini Uingereza wanajitayarisha kupiga kura iwapo kuunga au kutounga mkono mpango wa Theresa May wa kujitoa katika Umoja wa Ulaya.
Kura hiyo inayotajwa kuwa ni Kura yenye umuhimu ambayo itafanyika baadaye leo Januari 15, 2019 wakati mjadala wa siku tano kuhusu Brexit ukikamilika na kwamba May amewataka wanasiasa kuunga mkono mpango wake au kuhatarisha "kuwavunja moyo raia wa Uingereza".
Kwa mujibu wa Shirika la Habari nchini Uingereza(BBC) ni kwamba wabunge wake mwenyewe wakitarajiwa kujiunga na wa vyama vya upinzani kupiga kura dhidi ya mpango huo.Hata hivyo inatarajiwa mpango huo hautofaulu.Pia wabunge watapata fursa ya kutoa mapendekezo ya marekebisho ambayo yanaweza kuunda upya mpango huo kabla ya kura kuanza 19:00 kwa saa ya GMT.
Inaelezwa kuwa Waziri Mkuu aliwahotubia wabunge wake Jumatatu jioni katika jitihada za mwisho kujaribu kupata uungwaji mkono kwa mpango wake unaojumuisha mpango wa kujitoa kwa misingi ya ambavyo Uingereza itajitoa kwenye Muungano wa Ulaya na tangazo la kisiasa kwa uhusiano wa siku zijazo.
Awali, katika Bunge la wawakilishi, alisema: "Hauko imara kabisa lakini wakati historia itakapoandikwa, watu watatazama uamuzi wa Bunge hili na watauliza, 'Je tuliwajibika kuhusu kura ya taifa hili kujitoa katika EU, tuliuchunga uchumi wetu, usalama na muungano au tuliwavunja moyo raia wa Uingereza?'"
Hata hivyo May alijaribu kuwashawishi wabunge kuhusu mpango wenye mbadala wenye mzozo wa kuepuka kurudishwa kwa ukaguzi wa mipakani kati ya Uingereza na Ireland.

KUSOMA ZAIDI BOFYA BBC Swahili
Hivyo makala WABUNGE UINGEREZA WAJIANDAA KUPIGA KURA YA KUKUBALI AU KUKATAA MPANGO WA THERESA MAY KUJITOA UMOJA WA ULAYA
yaani makala yote WABUNGE UINGEREZA WAJIANDAA KUPIGA KURA YA KUKUBALI AU KUKATAA MPANGO WA THERESA MAY KUJITOA UMOJA WA ULAYA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WABUNGE UINGEREZA WAJIANDAA KUPIGA KURA YA KUKUBALI AU KUKATAA MPANGO WA THERESA MAY KUJITOA UMOJA WA ULAYA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/wabunge-uingereza-wajiandaa-kupiga-kura.html
0 Response to "WABUNGE UINGEREZA WAJIANDAA KUPIGA KURA YA KUKUBALI AU KUKATAA MPANGO WA THERESA MAY KUJITOA UMOJA WA ULAYA"
Post a Comment