Loading...
title : Wafanyakazi wa Taasisi ya JKCI waadhimisha sherehe ya miaka mitatu tangu kuanzishwa kwa Taasisi hiyo
link : Wafanyakazi wa Taasisi ya JKCI waadhimisha sherehe ya miaka mitatu tangu kuanzishwa kwa Taasisi hiyo
Wafanyakazi wa Taasisi ya JKCI waadhimisha sherehe ya miaka mitatu tangu kuanzishwa kwa Taasisi hiyo
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akikata keki ya kuadhimisha miaka mitatu tangu kuanzishwa kwa Taasisi hiyo Septemba 5, 2015 katika sherehe iliyofanyika hivi karibuni kwenye hoteli ya Protea Court Yard Sea view iliyopo jijini Dar es Salaam.
Mchekeshaji Bob Shaw kutoka Shirika la Cardiostart International la nchini Marekani akitoa burudani kwa wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) pamoja na wageni waalikwa wakati wa sherehe ya maadhimisho ya miaka mitatu tangu kuanzishwa kwa Taasisi hiyo Septemba 5, 2015 iliyofanyika hivi karibuni kwenye hoteli ya Protea Court Yard Sea view jijini Dar es Salaam.
Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) pamoja na wageni waalikwa wakicheza mziki wa iyokote uliokuwa ukipigwa na bendi ya Cocodo African Music wakati wa sherehe ya maadhimisho ya miaka mitatu tangu kuanzishwa kwa Taasisi hiyo Septemba 5, 2015 iliyofanyika hivi karibuni kwenye hoteli ya Protea Court Yard Sea view iliyopo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akimkabidhi cheti cha shukrani mwandishi wa habari wa gazeti la Mtanzania Veronica Romwald kutokana na mchango wa gazeti hilo wa kutoa elimu kwa umma kuhusu magonjwa ya moyo wakati wa sherehe ya maadhimisho ya miaka mitatu tangu kuanzishwa kwa Taasisi hiyo iliyofanyika hivi karibuni katika hoteli ya Protea Court Yard Sea view iliyopo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akimkabidhi cheti cha shukrani mwandishi wa habari wa gazeti la Tanzania Daima Asha Mwakyonde kutokana na mchango wa gazeti hilo wa kutoa elimu kwa umma kuhusu magonjwa ya moyo wakati wa sherehe ya maadhimisho ya miaka mitatu tangu kuanzishwa kwa Taasisi hiyo iliyofanyika hivi karibuni katika hoteli ya Protea Court Yard Sea view iliyopo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akimkabidhi cheti cha shukrani mwandishi wa habari wa kituo cha Televisheni cha East Africa Oliver Nyeriga kutokana na mchango wa kituo hicho wa kutoa elimu kwa umma kuhusu magonjwa ya moyo wakati wa sherehe ya maadhimisho ya miaka mitatu tangu kuanzishwa kwa Taasisi hiyo iliyofanyika hivi karibuni katika hoteli ya Protea Court Yard Sea view iliyopo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akimkabidhi cheti cha shukrani mwandishi wa habari wa gazeti la Uhuru Baraka Loshiraa kutokana na mchango wa gazeti hilo wa kutoa elimu kwa umma kuhusu magonjwa ya moyo wakati wa sherehe ya maadhimisho ya miaka mitatu tangu kuanzishwa kwa Taasisi hiyo iliyofanyika hivi karibuni katika hoteli ya Protea Court Yard Sea view iliyopo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akimkabidhi cheti cha shukrani mwandishi wa habari wa gazeti la Habarileo Regina Kumba kutokana na mchango wa gazeti hilo wa kutoa elimu kwa umma kuhusu magonjwa ya moyo wakati wa sherehe ya maadhimisho ya miaka mitatu tangu kuanzishwa kwa Taasisi hiyo iliyofanyika hivi karibuni katika hoteli ya Protea Court Yard Sea view iliyopo jijini Dar es Salaam.
Wakurugenzi watano wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakifungua Champaign wakati wa sherehe ya maadhimisho ya miaka mitatu tangu kuanzishwa kwa Taasisi hiyo Septemba 5, 2015 iliyofanyika hivi karibuni katika hoteli ya Protea Court Yard Sea view iliyopo jijini Dar es Salaam. Picha na JKCI
Hivyo makala Wafanyakazi wa Taasisi ya JKCI waadhimisha sherehe ya miaka mitatu tangu kuanzishwa kwa Taasisi hiyo
yaani makala yote Wafanyakazi wa Taasisi ya JKCI waadhimisha sherehe ya miaka mitatu tangu kuanzishwa kwa Taasisi hiyo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Wafanyakazi wa Taasisi ya JKCI waadhimisha sherehe ya miaka mitatu tangu kuanzishwa kwa Taasisi hiyo mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/wafanyakazi-wa-taasisi-ya-jkci.html
0 Response to "Wafanyakazi wa Taasisi ya JKCI waadhimisha sherehe ya miaka mitatu tangu kuanzishwa kwa Taasisi hiyo"
Post a Comment