Loading...

Wagonjwa 11 wafanyiwa upasuaji wa moyo wa kufungua kifua

Loading...
Wagonjwa 11 wafanyiwa upasuaji wa moyo wa kufungua kifua - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Wagonjwa 11 wafanyiwa upasuaji wa moyo wa kufungua kifua, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Wagonjwa 11 wafanyiwa upasuaji wa moyo wa kufungua kifua
link : Wagonjwa 11 wafanyiwa upasuaji wa moyo wa kufungua kifua

soma pia


Wagonjwa 11 wafanyiwa upasuaji wa moyo wa kufungua kifua

 Madaktari bingwa wa upasuaji wa moyo na mishipa ya damu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na wenzao wa Shirika la Cardiostart International la nchini Marekani wakimfanyia mgonjwa upasuaji wa kubadilisha valvu katika kambi maalum ya matibabu ya siku 12 inayoendelea katika Taasisi hiyo. Jumla ya wagonjwa 11 wamefanyiwa upasuaji na hali zao zinaendelea vizuri.
 Madaktari bingwa wa upasuaji wa moyo na mishipa ya damu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na wenzao wa Shirika la Cardiostart International la nchini Marekani wakimfanyia mgonjwa upasuaji wa kubadilisha valvu kwenye  kambi maalum ya matibabu ya siku 12 inayoendelea  katika Taasisi hiyo. Jumla ya wagonjwa 11 wamefanyiwa upasuaji na hali zao zinaendelea vizuri.
  Madaktari bingwa wa magonjwa ya moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na wenzao wa Shirika la Cardiostart International la nchini Marekani wakijadili maendeleo ya  wagonjwa waliolazwa katika Chumba cha Uangalizi Maalum (ICU) ambao wamefanyiwa upasuaji wa moyo. Jumla ya wagonjwa 11 wamefanyiwa upasuaji wa kufungua kifua katika kambi maalum ya matibabu inayoendelea katika Taasisi hiyo na hali zao zinaendelea vizuri ambapo wengine wamesharuhusiwa kutoka  ICU  na kurudi wodini kwa ajili ya kuendelea na matibabu ikiwa ni pamoja na mazoezi.
Madaktari bingwa wa upasuaji wa moyo na mishipa ya damu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na wenzao wa Shirika la Cardiostart International la nchini Marekani wakimfanyia mgonjwa upasuaji wa kubadilisha valvu kwenye  kambi maalum ya matibabu ya siku 12 inayoendelea  katika Taasisi hiyo. Jumla ya wagonjwa 11 wamefanyiwa upasuaji na hali zao zinaendelea vizuri.
Picha na JKCI


Hivyo makala Wagonjwa 11 wafanyiwa upasuaji wa moyo wa kufungua kifua

yaani makala yote Wagonjwa 11 wafanyiwa upasuaji wa moyo wa kufungua kifua Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Wagonjwa 11 wafanyiwa upasuaji wa moyo wa kufungua kifua mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/wagonjwa-11-wafanyiwa-upasuaji-wa-moyo.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Wagonjwa 11 wafanyiwa upasuaji wa moyo wa kufungua kifua"

Post a Comment

Loading...