Loading...
title : WAWILI WONGEZWA KESI YA KITILYA, WAACHIWA HURU NA KUKAMATWA TENA. WASOMEWA MASHTAKA MAPYA 58
link : WAWILI WONGEZWA KESI YA KITILYA, WAACHIWA HURU NA KUKAMATWA TENA. WASOMEWA MASHTAKA MAPYA 58
WAWILI WONGEZWA KESI YA KITILYA, WAACHIWA HURU NA KUKAMATWA TENA. WASOMEWA MASHTAKA MAPYA 58
Na Leandra Gabriel, Blogu ya jamii
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemsomea mashtaka mapya 58 yakiwemo ya utakatishaji fedha na kuisababishia serikali hasara ya dola milioni sita aliyekuwa Kamishna Mkuu wa TRA, Harry Kitilya na wenzake wawili ambao ni, aliyekuwa Miss Tanzania 1999 Shose Sinare na Sioi Solomon baada ya mapema leo asubuhi kuwafutiwa mashtaka nane yaliyokuwa yanawakabili.
Hata hivyo katika mashtaka mapya TAKUKURU imewaongeza watuhumiwa wawili kwenye kesi hiyo ambao ni Bedason Shallanda ambaye ni Kamishina wa uchambuzi wa madeni kutoka Wizara ya Fedha na msaidizi wake Alfredy Misana.
Katika kesi hiyo mpya washtakiwa wanakabiliwa na na mashtaka matatu ya kughushi, mashtaka mawili ya kutoa nyaraka za uongo, shatka moja la kujipatia pesa takribani dola milioni mia sita kwa njia za udanganyifu shtaka moja la kutoa nyaraka za uongo kwa lengo la kumdanganya Katibu Mkuu Wizara ya fedha, shtaka moja la kuongoza uhalifu, mashtaka 49 ya utakatishaji fedha na shtaka moja la kuisababishia Serikali hasara ya dola milioni sita.
Akisoma mashtaka hayo wakili wa wa Serikali Mkuu Hasan Ngole amedai mbele ya hakimu mkazi mwandamizi Agustina Mmbando ,kuwa kati ya Machi 15,2013 na Januari 10 2014 ndani ya jiji la Dar es salaam kwa nia ya kudanganya washtakiwa wote walijipatia USD milioni sita kutoka Serikali ya Tanzania wakionyesha kuwa fedha hizo zilikuwa ni malipo ya ada ya uwezeshaji wa upatikanaji wa mkopo na zililipwa kupitia kampuni ya EGMA Ltd na benki ya Stanbic
Aidha, miongoni mwa kosa la utakatishaji fedha inadaiwa washtakiwa wote walilitenda March 18, 2013 na January 10, 2014 wakiwa jijini Dar es Salaam ambapo walitakatisha USD 6,000,000 kwa kuzitoa fedha hizo kupitia njia ya benki kwa jina la Enterprises Growth Market Advisors (EGMA) katika benki ya Stanbic Tanzania.
Pia katika kosa la kusababisha hasara kwa serikali, wanadaiwa kwa pamoja walilitenda kosa hilo Mei 1, 2012 na Juni 1, 2015 wakiwa jijini Dar es Salaam walijipatia USD Milioni 600, 000,000 kama ada ya mkopo uliochukuliwa na Serikali ya Tanzania kutoka katika asilimia 1.4 hadi 2.4 na kusababisha serikali ipate hasara ya USD Milioni 6,000,000.
Baada ya kusomewa mashtaka hayo washtakiwa hawakuruhusiwa kujibu chochote,wamerudishwa rumande, kwa sababu mahakama haina mamlaka ya kusikiliza kesi hiyo, wakili Ngole amesema kuwa upelelezi wa kesi hiyo umekamilika na kesi hiyo imeahirishwa hadi Januari 24, 2019.

Hivyo makala WAWILI WONGEZWA KESI YA KITILYA, WAACHIWA HURU NA KUKAMATWA TENA. WASOMEWA MASHTAKA MAPYA 58
yaani makala yote WAWILI WONGEZWA KESI YA KITILYA, WAACHIWA HURU NA KUKAMATWA TENA. WASOMEWA MASHTAKA MAPYA 58 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAWILI WONGEZWA KESI YA KITILYA, WAACHIWA HURU NA KUKAMATWA TENA. WASOMEWA MASHTAKA MAPYA 58 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/wawili-wongezwa-kesi-ya-kitilya.html
0 Response to "WAWILI WONGEZWA KESI YA KITILYA, WAACHIWA HURU NA KUKAMATWA TENA. WASOMEWA MASHTAKA MAPYA 58"
Post a Comment