Loading...

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Afungua Mkutano wa Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala wa Mikoa Tanzania Bara.

Loading...
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Afungua Mkutano wa Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala wa Mikoa Tanzania Bara. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Afungua Mkutano wa Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala wa Mikoa Tanzania Bara., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Afungua Mkutano wa Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala wa Mikoa Tanzania Bara.
link : Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Afungua Mkutano wa Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala wa Mikoa Tanzania Bara.

soma pia


Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Afungua Mkutano wa Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala wa Mikoa Tanzania Bara.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Waziri wa Madini, Dotto Biteko, wakati akiwasili kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma Januari 26, 2019, kufungua mkutano wa Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala wa Mikoa Tanzania Bara.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Binilith Mahenge, wakati akiwasili kwenye mkutano wa Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala wa Mikoa Tanzania Bara, katika ukumbi wa Hazina jijini Dodoma, katikati ni Waziri wa Madini, Dotto Biteko
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwahutubia Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala wa Mikoa Tanzania Bara, wakati akifungua mkutano kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma
Wakuu wa Mikoa wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, wakati akiwahutubia kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma, 
Wakuu wa Mikoa wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, wakati akiwahutubia kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma, 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiteta jambo na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI Suleiman Jafo, kabla ya kufungua mkutano wa Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala wa Mikoa Tanzania Bara, uliofanyika katika ukumbi wa Hazina jijini Dodoma
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Christopher Ole Sendeka, mara baada ya kufungua mkutano wa Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala wa Mikoa Tanzania Bara, katika ukumbi wa Hazina jijini Dodoma. Katikati ni Waziri wa Madini, Doto Biteko
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Constantine Kanyasu (kulia), akimsikiliza  Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, baada ya kufungua mkutano wa Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala wa Mikoa Tanzania Bara jijini Dodoma Januari 26, 2019. Kutoka kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Ally Hapi na Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Christopher Ole Sendeka. 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Malima, baada ya kufungua mkutano wa Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala wa Mikoa Tanzania Bara, nje ya  ukumbi wa Hazina jijini Dodoma Januari 26, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)




Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Constantine Kanyasu (kulia), akimsikiliza  Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, baada ya kufungua mkutano wa Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala wa Mikoa Tanzania Bara jijini Dodoma Januari 26, 2019. Kutoka kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Ally Hapi na Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Christopher Ole Sendeka. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Hivyo makala Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Afungua Mkutano wa Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala wa Mikoa Tanzania Bara.

yaani makala yote Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Afungua Mkutano wa Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala wa Mikoa Tanzania Bara. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Afungua Mkutano wa Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala wa Mikoa Tanzania Bara. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/waziri-mkuu-wa-jamuhuri-ya-muungano-wa_26.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Afungua Mkutano wa Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala wa Mikoa Tanzania Bara."

Post a Comment

Loading...