Loading...
title : WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS KATIBA SHERIA UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA AWEKA JIWELA MSINGI FARAJA LA KIBONDEMZUNGU ZANZIBAR
link : WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS KATIBA SHERIA UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA AWEKA JIWELA MSINGI FARAJA LA KIBONDEMZUNGU ZANZIBAR
WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS KATIBA SHERIA UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA AWEKA JIWELA MSINGI FARAJA LA KIBONDEMZUNGU ZANZIBAR
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi wa Umma na Utawala Bora Haroun Ali Suleiman akitoa hotuba ya Uwekaji wa jiwe la msingi Daraja la Kibondemzungu Wilaya ya Magharibi B Unguja.Ikiwa ni shamra shamra za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.Kulia yake ni Waziri wa Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Dkt,Sira Ubwa Mamboya na kushoto yake ni Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Mustafa Aboud Jumbe.
Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Mustafa Aboud Jumbe akitoa maelezo ya Kitaalam kuhusiana na Ujenzi wa Daraja la Kibondemzungu Wilaya ya Magharibi B Unguja.Ikiwa ni shamra shamra za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Baadhi ya Wananchi mbalimbali waliohudhuria katika hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi Daraja la Kibondemzungu Wilaya ya Magharibi B Unguja.Ikiwa ni shamra shamra za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi wa Umma na Utawala Bora Haroun Ali Suleiman kulia akibadilishana mawazo na Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Dkt,Sira Ubwa Mamboya katika hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi Daraja la Kibondemzungu Wilaya ya Magharibi B Unguja.Ikiwa ni shamra shamra za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Daraja la Kibondemzungu lililowekewa jiwe la msingi na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi wa Umma na Utawala Bora Haroun Ali Suleiman Wilaya ya Magharibi B Unguja.Ikiwa ni shamra shamra za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
Hivyo makala WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS KATIBA SHERIA UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA AWEKA JIWELA MSINGI FARAJA LA KIBONDEMZUNGU ZANZIBAR
yaani makala yote WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS KATIBA SHERIA UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA AWEKA JIWELA MSINGI FARAJA LA KIBONDEMZUNGU ZANZIBAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS KATIBA SHERIA UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA AWEKA JIWELA MSINGI FARAJA LA KIBONDEMZUNGU ZANZIBAR mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/waziri-wa-nchi-ofisi-ya-rais-katiba.html
0 Response to "WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS KATIBA SHERIA UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA AWEKA JIWELA MSINGI FARAJA LA KIBONDEMZUNGU ZANZIBAR"
Post a Comment