Loading...
title : WIZARA YA ELIMU YAZINDUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO WALIMU WA SAYANSI NA KIINGEZA MADARASA YA TANO NA SITA ZANZIBAR
link : WIZARA YA ELIMU YAZINDUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO WALIMU WA SAYANSI NA KIINGEZA MADARASA YA TANO NA SITA ZANZIBAR
WIZARA YA ELIMU YAZINDUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO WALIMU WA SAYANSI NA KIINGEZA MADARASA YA TANO NA SITA ZANZIBAR
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Maalim Abdulla Mzee akiwaeleza walimu wa Skuli za Sekondari walioshiriki uzinduzi wa Mradi wa Mafunzo ya kutoa msaada kwa wanafunzi wa Skuli za Msingi (TESS) katika Kempasi ya SUZA Nkrumah.
Baadhi ya Walimu, Maafisa Elimu na Wakurugenzi wa Halmashauri walioshiriki Mafunzo ya kutoa msaada kwa wanafunzi wa Skuli za Msingi (TESS) wakifuatilia uzinduzi wa Mradi huo katika Kempasi ya SUZA Nkrumah.
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mmanga Mjengo Mjawiri akizungumza na walimu, Maafisa Elimu na Wakurugenzi wa Halmashauri katika uzinduzi wa Mradi wa Mafunzo ya kutoa msaada kwa wanafunzi wa Skuli za Msingi (TESS) katika Kempasi ya SUZA Nkrumah
Picha ya pamoja ya Naibu Waziri wa Elimu na Mfunzo ya Amali Mmanga Mjengo Mjawiri na baadhi ya washiriki wa mafunzo ya kutoa msaada kwa wanafunzi wa Skuli za Msingi (TESS) katika Kempasi ya SUZA Nkrumah.
Hivyo makala WIZARA YA ELIMU YAZINDUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO WALIMU WA SAYANSI NA KIINGEZA MADARASA YA TANO NA SITA ZANZIBAR
yaani makala yote WIZARA YA ELIMU YAZINDUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO WALIMU WA SAYANSI NA KIINGEZA MADARASA YA TANO NA SITA ZANZIBAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WIZARA YA ELIMU YAZINDUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO WALIMU WA SAYANSI NA KIINGEZA MADARASA YA TANO NA SITA ZANZIBAR mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/wizara-ya-elimu-yazindua-mafunzo-ya.html
0 Response to "WIZARA YA ELIMU YAZINDUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO WALIMU WA SAYANSI NA KIINGEZA MADARASA YA TANO NA SITA ZANZIBAR"
Post a Comment