Loading...

Zao la Korosho lapata soko Nchini Algeria

Loading...
Zao la Korosho lapata soko Nchini Algeria - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Zao la Korosho lapata soko Nchini Algeria, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Zao la Korosho lapata soko Nchini Algeria
link : Zao la Korosho lapata soko Nchini Algeria

soma pia


Zao la Korosho lapata soko Nchini Algeria

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro (Mb.), amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Algeria, Mhe. Saad Belabed. Katika mazungumzo hayo Mhe. Balozi alieleza kuwa Algeria ipo tayari kununua korosho ya Tanzania. Dkt. Ndumbaro amesema mazungumzo hayo ni moja ya jitihada za Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli za kuwakomboa kiuchumi Watanzania kwa kutafuta masoko ya mazao ya wakulima nje ya nchi. Mazungumzo hayo yamefanyika katika Ofisi ndogo za Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki zilizopo jijini Dar es Salaam. 
Mazungumzo yakiendelea.
Dkt. Damas Ndumbaro akiwa katika picha ya pamoja na Balozi Saad Belabed mara baada ya kumaliza mazungumzo yao. 



Hivyo makala Zao la Korosho lapata soko Nchini Algeria

yaani makala yote Zao la Korosho lapata soko Nchini Algeria Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Zao la Korosho lapata soko Nchini Algeria mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/zao-la-korosho-lapata-soko-nchini.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Zao la Korosho lapata soko Nchini Algeria"

Post a Comment

Loading...