Loading...
title : BENKI YA CRDB YAWAPA SEMINA WATEJA WAKE MKONIA IRINGA
link : BENKI YA CRDB YAWAPA SEMINA WATEJA WAKE MKONIA IRINGA
BENKI YA CRDB YAWAPA SEMINA WATEJA WAKE MKONIA IRINGA
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Ally Hapi akizungumza wakati akifungua semina ya siku moja kwa wafanyabiashara na wateja wa Benki ya CRDB Mkoani Iringa, iliyofanyika kwenye ukumbi wa Kichangani, Februari 26, 2019.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela akizungumza wakati wa ufunguzi wa semina ya siku moja kwa wafanyabiashara na wateja wa Benki ya CRDB Mkoani Iringa, iliyofanyika kwenye ukumbi wa Kichangani, Februari 26, 2019.
Mjumbe wa Bodi ya Benki ya CRDB, Dkt. Neema Mori akizungumza wakati wa semina ya siku moja kwa wafanyabiashara na wateja wa Benki ya CRDB Mkoani Iringa, iliyofanyika kwenye ukumbi wa Kichangani, Februari 26, 2019.
Wakurugenzi wa Benki ya CRDB wakitoa mada kwa wafanyabiashana na wateja wa Benki ya CRDB waliohudhulia semima hiyo.
Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa akifafanua jambo wakati wa semina ya siku moja kwa wafanyabiashara na wateja wa Benki ya CRDB Mkoani Iringa, iliyofanyika kwenye ukumbi wa Kichangani, Februari 26, 2019.
Hivyo makala BENKI YA CRDB YAWAPA SEMINA WATEJA WAKE MKONIA IRINGA
yaani makala yote BENKI YA CRDB YAWAPA SEMINA WATEJA WAKE MKONIA IRINGA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BENKI YA CRDB YAWAPA SEMINA WATEJA WAKE MKONIA IRINGA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/02/benki-ya-crdb-yawapa-semina-wateja-wake.html
0 Response to "BENKI YA CRDB YAWAPA SEMINA WATEJA WAKE MKONIA IRINGA"
Post a Comment